Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

JOKA LA KIJANI Limeifungafunga Tanzania mpaka imekosa maendeleo na linawaminya raia kwa mifumo ya hovyo inayowatia ujinga na umasikini.

zi448 IItVEMR33P8FCAaO1OqY1wsAAAAASUVORK5CYII=
 
Haya Chadema ndiyo wamelipua, nipeni milioni zangu kumi nisepe au mnataka nisemeje ili nipewe hizo 10m?

Chamdomo si mkachukue hizo mil 100 fasta nyie si walipuaji? Hiki chama Hiki hakitafanikiwa hapa duniani na alkhera pia. Ati wanaanza na Mungu wanamaliza na Mungu kufanya maasi
 
wewe na huyo mvivu wa kufikiri, acheni vyombo vya dola vifanye kazi yake.
 
chama cha mapinduzi hakina tatizo,tatizo ni baadhi wanaokiogoza na baadhi ya wanachama wake. niliwahi kuambiwa na kiongozi mmoja kwamba endapo watachagua upinzani hawapeleki maendeleo, ukiangalia kwenye you tube mwigulu anamnadi mccm kule arusha na kusema mlichagua cdm safari iliyopita je wamefanya nini? chagueni ccm tutawaletea maendeleo. swali iabara ya tatu kifungu cha kwanza kinaainisha tz ni nchi ya kidemokrasia. maendeleo ya sehemu zote katika nchi yetu yatatokana na kodi, kama ni kwenye halmashauri fulani kuna kodi za wanachama wa cdm,cuf,nccr,tlp,ccm n.k sasa iweje aseme bayana kwamba muichague ccm ilete maendeleo wakati hilo swala ni la kitaifa na si la ki chama?we need to share that small cake no matter our political believe.
 
wewe
umekosea WATUHUMIWA NAMBA MOJA NI HAWA (1) LEMA (2)FREEMAN MBOWE. hawa
ndio wakuu wa umafia unaofanyika nchini. wanapanga maasi na kutayarisha nyaraka za kupeleka mitandaoni na wenyewe hukusanya ushahidi kama hizo hizo risasi. hawa ni watu wa kuchunga sana
Well said, sasa polisi wanashindwa nini kuwakamata?
 
Elimu ya Lukuvi ni darasa la saba kwahiyo tusitegemee busara yeyote toka kwa mburula huyu; haiwezekani polisi wa serikali makini wakaacha kumkamata mtu aliyetupa bomu mbele ya macho yao na badala yake wakaanza kupiga risasi na kusambaratisha wananchi!! Hii yote ni ushahidi tosha kuwa ccm na polisi wake ndio waliopanga njama za kurusha bomu na kisha hawa polisi wakamlinda mtupa lile bomu!!!
 
Hawa watu ni wapuuzi kabisa! Mbona hawazungumzii Waliotaka kumuua Kamanda Nassari kule Makuyuni! Hawadhubutu mana ni Ushaidi tosha kua ni wao wenyewe! Watajimaliza wenyewe safari hii!
 
Mbona mnaweweseka sana

unaona kama wanaweweseka? waambie hao sijui hata niwaite nani wako! wewe huko uliko hujui yanayoendelea huku, kwa hiyo nakushauri uwe unakuwa na break kidogo,kwanza hata akili ya kuchambua mambo uko chini sana. waambie hivi kwa taarifa yako/yenu watu wamechoka na hata jinsi ya kueleza kuchoka huko ni ngumu, kama ni mbinu ya kuua mtaua sana, na mwisho mtajiua wenyewe pale damu za watu zitakapowafunika mpaka utosini, maana sasa hivi hizo damu zimewatapakaa mikononi na miguuni huku mkiji-please kuwa mnawapakazia cdm mauaji na vurugu.
 
Chukia; pandwa na hasira huo ndio ukweli wenyewe nyie endeleeni kujilipua hio njia pekee mliobakiza kujinadi kisiasa!

Upuuzi huu unaweza kuuongea nyuma ya keyboard tuuuu thanks to microsoft and others kwa kuwezesha kuwa connected kwenye internet na kupata uhuru wa kukejeli misiba ya watanzania wenzako. Haya maneno ungeyeyaongea mbele ya wafiwa wangekupa zawadi.
Propaganda zimegandisha ubongo wenu na kuwafanya mfikiri siasa ni uadui na kifo cha mtanzania yeyote ambaye unahisi si mwana CCM ni halali. Mmesahua kuwa ccm ni chama tawala na ndio baba na ni aibu kwa baba kufurahia kifo cha mwanae only kwa sababu amekuwa na anataka wagawane urithi!.

Sio wote wanaohudhuria mikutano ya kisiasa ni wanachama wa vyama hivyo na walioumia kwenye mashambulio haya they inocent children. Kama kwenye wewe ni mzazi sioni unawezaje kukejeli kifo cha mtoto asiyekuwa na hatia. eti amejilipua!!!??
haya baba mungu akubariki
 
mkuu ni kweli kabisa hili ni danganya toto mkuu huyu lukuvi anafunika kombe mwanaharamu apite
 
Mwanzo 9:6 Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
 
Mimi huwa nashangaa kwa sababu hata majambazi siku nyingine huenda kuiba na sare za polisi au jeshi wanakozipata wanajua wenyewe sasa najiuliza huyo polisi asije kuwa ndio wale wale ameshonewa yuniformu za kipolisi ili ajulikane ni polisi tena akakaa katikati ya watu. maana polisi wa ukweli huwa naona wanakaa pembeni kuzunguka uwanja sasa huyo aliyekaa katikati ya watu na sare za polisi huenda pia alizivalia hapo kapo maana immediately na mkanda ukatoka! halafu hawataki kuutoa maana unatumiwa ki nitoke vipi! ngumu kuamini hii ilikuwa palanted na wahusika ili wapate kuwasingizia polisi.
 
mwisho wa cku watadaiwa roho za ao watu. wakae wakijua madarakan awata kaa milele. wajiandae KUTAWALIWA watake wasitake'
 
waziri mwene zamana awajbike tumechoshwa na dhuluma na maangamizo
 
Hao wakina chama sijui lukosi. make mkiju kuwa endapo yatatokea mapigano hamtasalimika na kama mtasalimika nyie basi familia zenu zitateketea. endeleni kushabikia ujinga huku watu wakiwa na maumivu
 
mkuu chris lukosi
kipigo walichopata sio kidogo; bomu ujirushie mwenyewe lawama utupie watu wengine; hivi mkuu uweke bangi kwenye pochi ya mkeo akikamatwa utamlaumu jirani?

ukisikia mwana si riziki ndo hawa wawili.cjui wanatumia staili gani kufikiri na kuamua ila nadhani ni masaburi plus uliberali
 
Back
Top Bottom