Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Chadema wana support ya kutosha ya wananchi hawana haja ya kufanya dhambi kama hii. Tumaini letu ni kwa Muumba.
 
Mkuu chama.

Kesi hii ni ndogo sana tafadhali mkuu kwa vigezo gani hata iwe ndogo?

Je kesi ya kutowesha uhai wa mwanadamu inaweza kuwa ndogo? kivipi?

Hii kesi ndogo kwa misingi ya kutaka kujua wahusika halisi ni kina nani?
 
Chadema wana support ya kutosha ya wananchi hawana haja ya kufanya dhambi kama hii. Tumaini letu ni kwa Muumba.

Sasa hivi mnavyowaua si mtapungukiwa? CCM hatuna wasiwasi na base ya wapiga kura
 
Shule zote nimemaliza, natumia utashi na akili yangu plus elimu yangu kupambanua mambo. Sihitaji darasa wala kozi ya ziada ila nitaendelea kusemea ukweli. Hali ya nchi si shwari na chama cha siasa kinahusika!!! Ila nina hakika kama si 2015 ila ni miaka michache ijayo hali hii itaondoka. Ila hofu yangu ni kwamba watu mnalazimisha madaraka hata kama hamtakiwi. Akufukuzae hakwambii toka!! Sasa kama hutakiwi ni kwa nini utumie mbinu chafu kujikoki? Ule umati wa mkutano wa CDM ni lazima mabomu, smg na bastola zingetumika ili kupunguza idadi ya wapiga kura!!! Hata kwa unyama huo CDM itachukua maeneo mengi!!! Take my words!!! Wa wording watatoka kwenda kupiga kura na walio bahatika kutodhurika watapiga na maisha yanasonga!!! Damu hii ina gharama yake!!! Aibu kubwa sana hii.

mkuu rudi tena shule!
 
Nilimwekea huyo chama maana nimeona yuko katika kusherehekea yaliyojiri Arusha Jumamosi!.

Viongozi wako ndio wanaofanya sherehe za majanga hayo najua wakati huu upo majonzi ya uchaguzi lakini akili yako ikitulia utaujua ukweli
 
Haya mambo ni mapya na kuna vyama flani ni vipya.kwann vinaendana na huu upya?


Ni vipi fikra mpya zinamatatizo dhidi ya za kale?

Kama ndivyo vipi kila wakati tunafanya uchaguzi? ccm na vyama vingine wanafanya hivyo kuruhusu msigano wa fikra mpya.

Je ulichoandika ulikitafakali uhalisia wake?
 
Mkuu Chris Lukosi
Kipigo walichopata sio kidogo; bomu ujirushie mwenyewe lawama utupie watu wengine; hivi mkuu uweke bangi kwenye pochi ya mkeo akikamatwa utamlaumu jirani?

Haya maoni yako hata shetani hawezi kukubaliana nayo ! Hivi kilichokupofusha fikra kiasi hicho ni hizo 7000 au kuna kingine ?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu watu wa ainayako mko wengi sana lakini siasa za chuki na uzandiki sijui kama zinamaana sana katika tanzania ya leo siasa za hoja ndiyo mpango na wajanja wengi wanafanya hivyo.

Mkuu jaribu kuwa na siasa za kikubwa.

Pumb avu zako,watu wamekufa we unasema nini?ustaarabu?au kwa kuwa hakuna shemeji yako kule?uto..... We!
 
Intelejinsia ya polisi ipo likizo nono
 
Hii kesi ndogo kwa misingi ya kutaka kujua wahusika halisi ni kina nani?


Sijaelewa unamaana gani?

-Ya ulimboka makubwa kiasi kwamba mpaka leo hawajulikani wahalifu

-ya kibanda makubwa mpaka leo hawajulikani wahalifu

-Ya mapadri huko zanzibar makubwa mpka leo hawajulikani wahalifu

Thibitisha la arusha ni dogo ukilinganisha na machache nilioorodhesha hapo juu? unatumia vigezo gani kufikia hitimisho hilo.
 
mkuu rudi tena shule!

Mambo yanavyoendeshwa hapa nchini, sihitaji tena shule haina maana!!!! Hii niliyo nayo hata kuitumia kikamilifu bado!!! Acha bora liende tuamke na kulala.
 
Zogwale
tatizo lenu kubwa ni kukimbia ukweli, hao watanzania wa kawaida nimewasiliana nao Ritz ni mtanzania wa kawaida; kwa maovu yenu mnataka kulaumu wengine? Ndani ya Chadema kuna mzozo wa nani agombee uraisi; Mbowe ameonyesha nia kugombea na hasa ukizingatia anaendelea kukomaa kisiasa; yupo mhusika mkuu ndani ya chama chenu ambaye yupo tayari kuona binadamu mwenzake apoteze maisha ili yeye apewe nafasi hiyo; CCM haiwezi kufanya vitu vya kipuuzi hii ni kujipaka matope wenyewe hasa ukizingatia serikali inajiaanda kupokea viongozi wa kimataifa; hatuwezi kuhatarisha amani ya taifa letu ambayo tumeijenga na kuisimamia miaka yote; jaribuni kufikiria nje box huu ndio ukweli wenyewe; ila mwambieni huyo kinara wenu wa mauji uraisi atausikia salamu amezipata kwenye uchaguzi na arudi na kutubu kwa mola wake.
cc Ritz; NasDaz, ZeMarcopolo, Mohamedi Mtoi

Umeongea maneno mengi sana ila una uma umaa tu hamna cha muhimu umeongea plus umechanganya habari, mara CHADEMA kuna mzozo nani agombee urais, mara mbowe ameonyesha nia ya kugombea hasa anaendelea kukuwa kisiasa(umeongea nini hapa) mara yupo muhusika ndani ya chama chenu yupo tayari kuona binadamu wenzake wanapoteza maisha(je huyu unayemzungumziahapa yupo TANZANIA kwa muda huu au hayupo)??

Unakujatena unajitetea CCM haiwezi kufanya upuuzi huo, je mlichofanya Iringa kwa mwangosi ni nini???Mlichofanya Arusha ni nini??Mkuu usitake kutetea mambo ya kijinga kama hujui siasa zinavyoenda kaa kimya kuliko kuongeea vitu na kujichanganya.

Mwenzenu dhaifu yupo UK now anakula kuku kwa mrija nyinyi mnaishi kutumikabila mafanikio ipo siku mtakuja kuaibika na mnaonyesha zaidi wala hamjali watu wanakufa bila hatia mnachukulia kawaida tu....Jeshimu uheshimiwe na kaa fikiria family yako ikifikia kwenye hiyo hatua ya kufanyiwa hivyo je utafurahi?Watoto zako au mke wako(kama unae)afe kama yule utasema ni CHADEMA wamefanya hivyo??Mungu hapendi hivyo na mkiendelea na hizo tabia zenu mtaona mjibu yake yatakuja kuwarudia kwenye family zenu......

Eti kinara wa mauaji, atakuwaje kinara wa mauaji wakati CCM ndio wameshika dora, vifo vyote vinatokea vinafanywa na nani???Jiheshimu nna ongea vitu vya muhimu.....
 
Unatobolewa wewe, acha kutuletea mambo ya kiji,nga kwenye mambo muhimu kama haya....Umeingia humu ndani kwa ajili hiyo kuongea pumba zako, so jiheshimu mtu wewe natumia muda wako kucomment vitu vya maana....

kwann isiwe ww ndio unatobolewa? Hili ni jukwaa huru kila mtu yuko huru kutoa maoni yake.hao waliotajwa ndio wauwaji namba moja wakamatwe haraka
 
Sasa hivi mnavyowaua si mtapungukiwa? CCM hatuna wasiwasi na base ya wapiga kura
kama pesa ndo inakufanya utamke haya yanayovuka uradhini wa binadamu basi usijari pepeteo ya bwana ipo ngano safi na makapi siku moja yatatenganishwa ipo siku yatakugeukia utalia na kusaga meno fanyeni kazi vijana njaa hzo zinawafanya mshabikie vitu vinavyoumiza mioyo ya watu
 
Sasa hivi mnavyowaua si mtapungukiwa? CCM hatuna wasiwasi na base ya wapiga kura

Wala sikulaumu, mwenzangu uko kwenye system, mambo yako safi, ila kumbuka yana nwisho haya. Kwa sasa naweza tu kusema asante kwa comment yako.
 
Back
Top Bottom