Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Na hivi punde polisi imepiga marufuku mikusanyiko yoyote Arusha:Chanzo BBC Jioni hii

Inamaana keSho hakuna kuomboleza na mazishi ya wahanga?

Wakilazimisha hiyo mrufuku kesho hapatosha tena Arusha na ccm itawajibika kwa mateso na majanga haya.
 
wewe
umekosea WATUHUMIWA NAMBA MOJA NI HAWA (1) LEMA (2)FREEMAN MBOWE. hawa
ndio wakuu wa umafia unaofanyika nchini. wanapanga maasi na kutayarisha nyaraka za kupeleka mitandaoni na wenyewe hukusanya ushahidi kama hizo hizo risasi. hawa ni watu wa kuchunga sana
kwa hyiyo pamoja naakili yako unafikiri serikali ya ccm inaewaogopa lema na mbowe kuwakamata/
hiyo imekula kwa ccm na mpango wenu wa kulipua tena tar 29 unajulikana hamna pa kujificha.
 
Chadema inatapatapa kupotosha ukweli unawahusu...tamko la nape limeeleza vizuri bahati yao wameng'oa ile thred
 
CCM wenyewe imewashinda sisi wengine tutaiweza wapi,hapa tuzidishe sala 2015 ifike kwa amani japo kwa ni kwa shida,tupige kura na katiba mpya tuwapumzishe hawa miungu watu(CCM)......CCM ya leo hawatumii jembe na nyundo kwa ajli ya maendeleo bali kutudhuru navyo.
 
CCM NI MTUHUMIWA NAMBA MOJA
Mimi NI MTANZANIA kijana wa umri wa miaka zaidi ya kumi nane kija na mwenye elimu ya chuo kikuu leo asubuhi mida ya saa tano nilikuwa na fuatilia bunge na ndipo ghafla mvivu wa fikra mmoja akatoa kauli ya serikali juu ya bomu la Arusha mmmmh haihitaji akili ya chuo kikuu kutambua huyu mvivu wa fikra alikuwa anamaanisha nini kama kawaida kapewa mda mwingi na ANA MAKINDA wakujieleza kaanza na kusema kwamba upinzani unahusika katika mlipuko wa Arusha kutokana na kauli zao eti NCHI HAITATAWALIKA na alipo hitimisha akatangaza donge nono kwa mtu yeyote atakaye toa taarifa juu ya tukio la bomu la ARUSHA donge hilo ni fedha taslim za KITANZANIA M 100 tena eti hata wakiwa wengi serikali haita sita kuwazawadia wote sasa nachambua kama ifuatavyo
1 Lukuvi kama siyeye basi kutokana na maelezo yake niwazi kwamba anamjua nakumfadhili yule ambaye alirusha bomu napolisi kumficha na kuwatetea polisi nkwamba walikuwa wana rusha risasi ili kujilinda na raia waliokuwa wanawashsmbilia risasi poilisi kutokana nakile ambacho kilijiri
2 CCM kwa pamoja wanafahamu vizuri zaidi kuhusiana na mipango hiyo kwani siku mbili kabla NAPE NA NCHEMBA walitoa taarifa kwenye moja ya mikuatano yao kuhusiana na uchaguzi wa madiwani.Hivyo basi doge nono hawezi kupewa mtanzania awayeyote ule kwani WAHUSIKA NDIO WALIOTANGAZA TENDA HIYO kutokana na mfumo uliopo ndani ya serikali ya CCM hiyo ndio technical plan(mipango ya ushindi) kwa sasa ndani ya SERIKALI YAO HIVYO WALIO FANIKISHA MIPANGO HII NDANI YA CCM NI MASHUJAA TENA WAMEHAKIKISHIWA ULINZI HIVYO KUMFAHAMU MLIPUAJI NIKUKIDHALILISHA CHAMA

NB WATANZANIA WA LEO SI WATANZANIA WA JANA POLENI WAHANGA WOTE HIYO NDIO CCM KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
kila hila inayofanywa na ccm lazima ile kwao hakuna mtoto mdogo utakayemdanganya kwamba chadema walitaka kumuua Lema na Mboe ao ni wapinzani wa chadema Mungu yupo pamoja na chadema
 
Mkuu umejieleza kwa upande wako na ni mawazo yako nayaheshimu. Msimamo wangu uko palepale kuwa CDM haiwezi kujiangamiza!!!!?? Nitasimamia usemi huu hadi niingie kaburini. Mimi binafsi si mwanachama wa SSM wala CDM ila ni mpiga kura mzuri sana na ni analyst. Yanayoendelea kuanzia kuchoma makanisa, kurusha mabomu katika ibada za kikristu, kuua na kujerushi katika mikutano ya CDM si mpango mdogo, ni mzito sana na umesukwa haswa!!! Sitaki kusema mengi hapa naweza kusema si pa kuyasemea ila mambo ni mazito, ni hofu za siasa kuchuja na nyingine kupanda!!
itabidi urudi shule kusomea huo uanalyst hii kesi ni ndogo sana huitaji kujiumiza kichwa!
 
wewe
umekosea WATUHUMIWA NAMBA MOJA NI HAWA (1) LEMA (2)FREEMAN MBOWE. hawa
ndio wakuu wa umafia unaofanyika nchini. wanapanga maasi na kutayarisha nyaraka za kupeleka mitandaoni na wenyewe hukusanya ushahidi kama hizo hizo risasi. hawa ni watu wa kuchunga sana

Unatobolewa wewe, acha kutuletea mambo ya kiji,nga kwenye mambo muhimu kama haya....Umeingia humu ndani kwa ajili hiyo kuongea pumba zako, so jiheshimu mtu wewe natumia muda wako kucomment vitu vya maana....
 
Zogwale
tatizo lenu kubwa ni kukimbia ukweli, hao watanzania wa kawaida nimewasiliana nao Ritz ni mtanzania wa kawaida; kwa maovu yenu mnataka kulaumu wengine? Ndani ya Chadema kuna mzozo wa nani agombee uraisi; Mbowe ameonyesha nia kugombea na hasa ukizingatia anaendelea kukomaa kisiasa; yupo mhusika mkuu ndani ya chama chenu ambaye yupo tayari kuona binadamu mwenzake apoteze maisha ili yeye apewe nafasi hiyo; CCM haiwezi kufanya vitu vya kipuuzi hii ni kujipaka matope wenyewe hasa ukizingatia serikali inajiaanda kupokea viongozi wa kimataifa; hatuwezi kuhatarisha amani ya taifa letu ambayo tumeijenga na kuisimamia miaka yote; jaribuni kufikiria nje box huu ndio ukweli wenyewe; ila mwambieni huyo kinara wenu wa mauji uraisi atausikia salamu amezipata kwenye uchaguzi na arudi na kutubu kwa mola wake.
cc Ritz; NasDaz, ZeMarcopolo, Mohamedi Mtoi
Jiburudishe ni hii!
 
Last edited by a moderator:
sina maoni poleni wahanga,siku moja tutaijua kweli kuhusu haya majanga na tukijaaliwa kuijua kweli halisi tutawekwa huru kweli kweli,hata kama kiitwacho kauli/msimamo wa SERIKALI kikisema vinginevyo!
 
Mkuu watu wa ainayako mko wengi sana lakini siasa za chuki na uzandiki sijui kama zinamaana sana katika tanzania ya leo siasa za hoja ndiyo mpango na wajanja wengi wanafanya hivyo.

Mkuu jaribu kuwa na siasa za kikubwa.

We jamaa ni ----- saana,nani mwenye siasa za chuki na uzandiki kama sio ccm ambako wewe upo?Halafu mnajifanya kuwalaghai watanzania kwamba mnafanya siasa safi wakati watanzania wamesha wakataa,mnamwaga damu za BINADAMU wasio na hatia kwasababu ya madaraka,kumbukeni what comes around goes around,soon mtalipwa kwa huo unyama wenu,wangese bwawaku nyie...!!
 
Mkuu,

basi Mungu wangu na anisamehe. Lukuvi anatuhumu cdm alafu anatoa dau la pesa yote ili akamatwe nani? hawa jamaa hawana huruma hata kidogo! waliokufa hawajazijwa alafu anatoa kejeri za namna hiyo?

Mkuu

Ukifuatilia kauli na kuzitafakali kwa makini utaona katika majanga haya ndani ya ccm kunakakikundi maalum.

-Nchimbi

-Lukuvi

-Wassira

-Mwigulu


-Nape

-Kinana


-Tendwa

Hawa ni moja ya majanga makuu na tishio kwa ustawi wa amani, haki na democrasia ya Taifa la Tanzania.

Niliowabold ndiyo wahusika wakuu.
 
itabidi urudi shule kusomea huo uanalyst hii kesi ni ndogo sana huitaji kujiumiza kichwa!

Shule zote nimemaliza, natumia utashi na akili yangu plus elimu yangu kupambanua mambo. Sihitaji darasa wala kozi ya ziada ila nitaendelea kusemea ukweli. Hali ya nchi si shwari na chama cha siasa kinahusika!!! Ila nina hakika kama si 2015 ila ni miaka michache ijayo hali hii itaondoka. Ila hofu yangu ni kwamba watu mnalazimisha madaraka hata kama hamtakiwi. Akufukuzae hakwambii toka!! Sasa kama hutakiwi ni kwa nini utumie mbinu chafu kujikoki? Ule umati wa mkutano wa CDM ni lazima mabomu, smg na bastola zingetumika ili kupunguza idadi ya wapiga kura!!! Hata kwa unyama huo CDM itachukua maeneo mengi!!! Take my words!!! Wa wording watatoka kwenda kupiga kura na walio bahatika kutodhurika watapiga na maisha yanasonga!!! Damu hii ina gharama yake!!! Aibu kubwa sana hii.
 
wewe
umekosea WATUHUMIWA NAMBA MOJA NI HAWA (1) LEMA (2)FREEMAN MBOWE. hawa
ndio wakuu wa umafia unaofanyika nchini. wanapanga maasi na kutayarisha nyaraka za kupeleka mitandaoni na wenyewe hukusanya ushahidi kama hizo hizo risasi. hawa ni watu wa kuchunga sana

Unauhakika na ulichoandika au unakurupuka tu
 
Haya mambo ni mapya na kuna vyama flani ni vipya.kwann vinaendana na huu upya?
 
Mkuu watu wa ainayako mko wengi sana lakini siasa za chuki na uzandiki sijui kama zinamaana sana katika tanzania ya leo siasa za hoja ndiyo mpango na wajanja wengi wanafanya hivyo.

Mkuu jaribu kuwa na siasa za kikubwa.

Siasa za Lukuvi unaziweka katika kundi gani ?
 
itabidi urudi shule kusomea huo uanalyst hii kesi ni ndogo sana huitaji kujiumiza kichwa!


Mkuu chama.

Kesi hii ni ndogo sana tafadhali mkuu kwa vigezo gani hata iwe ndogo?

Je kesi ya kutowesha uhai wa mwanadamu inaweza kuwa ndogo? kivipi?
 
Back
Top Bottom