Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Huyu hapa mtuhumiwa wa bomu Arusha

Binafsi sikulielewa kabisa tamko la serikali kupitia lukuvi.

Katika tamko lake amewanyoshea kidole wapinzani 100% kwamba wanahusika.

Isitoshe ameuongopea umma kwamba matatizo na majanga haya yote Ni Arusha tu (hapa alimlenga Lema moja kwa moja)

Je? anatuambia nini kuhusiana na

1. Vurugu za mtwara kiasi kwamba badala ya polisi jeshi limeingia kazin.

2. Majanga ya maandamano ya Da r es salaam na hususan vyuo vikuu nako ni Lema

3. Vurugu na mauwaji ya Daudi Mwangosi Iringa nako ni Arusha?

4. Uchomaji na uhalibifu wa nyumba za ibada zaid ya 60 kwa muda mfupi nako vipi?

5. Mauwaji ya viongozi wa dini mfurulizo anatuamiaje?

6. Vipi kuhusu uhusika wa mwigulu katika utunzi na utowaji video feki ya Lwakatale

7. Vipi kuhusu tetesi za ushiriki wa mwigulu katika mauwaji Usa rver, Ndago, Utesaji-Kibanda, amehojiwa walau kuutafuta ukweli?

8. Vurugu za kuchinja, Mwanza, Mbeya, Geita nk.

9. Nasali kapigwa vibaya sijuwi hawa chadema ni vichaa kiaSI KWAMBA wanapiga mpaka wabunge wao?????

Nachelea kusema Lukuvi ametoa tamko la kijinga na kipumbavu na kwa nchi inayojali na kuthamini uhai, haki na utawala bora Lukuvi mpaka kufikia muda huu angewajishwa kwa maelezo tata na alipawa kuwa shahidi wa kwanza mahakani maana anawafahamu.
 
mkuu upo sahihi asilimia 200.kilichototokea pale ni kuwa polisi alirusha bomu kwa mkono baada ya kubainika wananchi wakawa wanamkimbiza ili wenzake kuona mambo yameharibika wakaanza kurusha risasi kwa wale waliokuwa wanawafukuza ili wamtia mikononi na kupelekea watu wengi kujeruhiwa na risasi ,MY TAKE ,Ni kuwa polisi amepata wapi ujasiri wa kupiga watu risasi bila kupata maelekezo kutoka kwa hawa jamaa wa ccm.kimatukio wamefanikiwa ila kimtazamo wa kimataifa wanachafua taswira ya jiji la arusha ,waangalie wanachotetea kina maslahi ya taifa au ni chama na kama ni kutetea chama cha mapinduzi aheri kife kuliko kuchafua jina la tanzania kwa hili siko tayari kuitetea ccm hata kidogo natetea taifa kwanza
 
Bomu ulipue wewe, tume uunde wewe na donge nono utangaze wewe!! MAJANGAAA, MAJANGAAA,MAJANGAA!!!

kweli ni jambo lakushangaza sana.ccm ni wajinga sana wanasahau kuwa ugonjwa waliutunza wenyewe.kila siku wanas
 
Mwizi akikosa mhanga wa wizi huamua kujiibia mwenyewe!.
Sasa na hawa wana-
Mapinduzi wamekosa wakumpindua wameamua kijipindua wenyewe!.

Ccm bana wajanja kweli,wanafikiri wataweza kuizima cdm kama walivyofanya kwa nccr, never ever slaa,mbowe zito jamani kazeni buti mpinzan wetu ccm kishaishiwa nguvu zidishen za kichwa soon ataanguka knock out. Sisi watz tupo na tunawaombea saaana
 
Mimi nilifikiri kuna la maana humu kumbe ni muendelezo wa kina mungi na molemo


Umeandika nini sasa! kama huoni la maana pita la maana wangekufa watoto wako, baba au mama yako labda.

Huu ndio uelewa wako.
 
Kama kweli Lukuvi ametoa taarifa hiyo bungeni, basi cdm must black list all ili mahakama ya nguvu ya umma ichukue mkondo wake. Hatuitaji matamko tena ila kuchukua hatua. masisim hawa wanakiburi ambacho sijapata kuona toka nizaliwe. mahamuzi hayo cdm yawe magumu kiasi chakuamliliwa na mataifa ya nje.

Nafika ushauri huo baada yakuona viongozi wa kidini wako kimya, mahakama zinacheza mziki wa ccm, vyombo vya habari hivyo hivyo....polisi ni siseme jeshi nalo sijui linasubiri wacdm waishie kwenye mikutano.....

pls mimi sio violent lakibi siwezi kukubali kudharauliwa kiasi cha mwigulu na lukuvi wanavyofanya. cdm pls leta taarifa za wauaji washuguliwe kwa njia istariyo matendo yao.
 
Mkuu watu wa ainayako mko wengi sana lakini siasa za chuki na uzandiki sijui kama zinamaana sana katika tanzania ya leo siasa za hoja ndiyo mpango na wajanja wengi wanafanya hivyo.

Mkuu jaribu kuwa na siasa za kikubwa.

Kumbe wakati mwingine CCM huwa munatoa ushauri mzuri.Ushauri wenu huo ungeonekana wa maana zaidi kama mungeuelekeza kwanza kwa mtu wenu Mwigulu ambaye anapandikiza chuki kwa kumtumia kijana aliye mchonga kwa tindikali kama kinyago cha kimakonde huku akiwahadaa wananchi kwa kuwambia kuwa waliofanya hivyo ni CHADEMA.
 
i) HIVYO WALIO FANIKISHA MIPANGO HII NDANI YA CCM NI MASHUJAA TENA WAMEHAKIKISHIWA ULINZI HIVYO KUMFAHAMU MLIPUAJI NIKUKIDHALILISHA CHAMA

NB WATANZANIA WA LEO SI WATANZANIA WA JANA POLENI WAHANGA WOTE HIYO NDIO CCM KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

umeandika vizuri sana , ila hapo kwenye kuhakikishiwa ushindi inaweza ukawa unakosea kuna uwezekano sasa hivi aliyerusha hilo bomu tayari wameshamua na kumfukia .
 
Wananchi hawa wanahitaji mabadiliko,wasipo yapata kwa wakati watayatafuata mabadiliko hayo hadi wayapate.
 
CCM NI MTUHUMIWA NAMBA MOJA
Mimi NI MTANZANIA kijana wa umri wa miaka zaidi ya kumi nane kija na mwenye elimu ya chuo kikuu leo asubuhi mida ya saa tano nilikuwa na fuatilia bunge na ndipo ghafla mvivu wa fikra mmoja akatoa kauli ya serikali juu ya bomu la Arusha mmmmh haihitaji akili ya chuo kikuu kutambua huyu mvivu wa fikra alikuwa anamaanisha nini kama kawaida kapewa mda mwingi na ANA MAKINDA wakujieleza kaanza na kusema kwamba upinzani unahusika katika mlipuko wa Arusha kutokana na kauli zao eti NCHI HAITATAWALIKA na alipo hitimisha akatangaza donge nono kwa mtu yeyote atakaye toa taarifa juu ya tukio la bomu la ARUSHA donge hilo ni fedha taslim za KITANZANIA M 100 tena eti hata wakiwa wengi serikali haita sita kuwazawadia wote sasa nachambua kama ifuatavyo
1 Lukuvi kama siyeye basi kutokana na maelezo yake niwazi kwamba anamjua nakumfadhili yule ambaye alirusha bomu napolisi kumficha na kuwatetea polisi nkwamba walikuwa wana rusha risasi ili kujilinda na raia waliokuwa wanawashsmbilia risasi poilisi kutokana nakile ambacho kilijiri
2 CCM kwa pamoja wanafahamu vizuri zaidi kuhusiana na mipango hiyo kwani siku mbili kabla NAPE NA NCHEMBA walitoa taarifa kwenye moja ya mikuatano yao kuhusiana na uchaguzi wa madiwani.Hivyo basi doge nono hawezi kupewa mtanzania awayeyote ule kwani WAHUSIKA NDIO WALIOTANGAZA TENDA HIYO kutokana na mfumo uliopo ndani ya serikali ya CCM hiyo ndio technical plan(mipango ya ushindi) kwa sasa ndani ya SERIKALI YAO HIVYO WALIO FANIKISHA MIPANGO HII NDANI YA CCM NI MASHUJAA TENA WAMEHAKIKISHIWA ULINZI HIVYO KUMFAHAMU MLIPUAJI NIKUKIDHALILISHA CHAMA

NB WATANZANIA WA LEO SI WATANZANIA WA JANA POLENI WAHANGA WOTE HIYO NDIO CCM KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Kwa umri wako sitakiwi kukufundisha matusi.
 
Mkuu watu wa ainayako mko wengi sana lakini siasa za chuki na uzandiki sijui kama zinamaana sana katika tanzania ya leo siasa za hoja ndiyo mpango na wajanja wengi wanafanya hivyo.

Mkuu jaribu kuwa na siasa za kikubwa.

Hayo maneno ungemuambia M/Kiti wenu na akina Mwigulu na Nape.
 
Wananchi tuliipenda tanzania,ccm imeipenda zaidi,rest in peace tanzania..
 
Chama kila kitu kiko wazi!! Hata dilution za aina gani mfanye lakini watanzania si wapumbavu na wajinga kiasi hicho!! Ndio maana kila plan yenu ina abbort!!!! Jiulize kwa nini!!! ukitaka majibu tafuta mtanzania wa kawaida ongea naye!!
Zogwale
tatizo lenu kubwa ni kukimbia ukweli, hao watanzania wa kawaida nimewasiliana nao Ritz ni mtanzania wa kawaida; kwa maovu yenu mnataka kulaumu wengine? Ndani ya Chadema kuna mzozo wa nani agombee uraisi; Mbowe ameonyesha nia kugombea na hasa ukizingatia anaendelea kukomaa kisiasa; yupo mhusika mkuu ndani ya chama chenu ambaye yupo tayari kuona binadamu mwenzake apoteze maisha ili yeye apewe nafasi hiyo; CCM haiwezi kufanya vitu vya kipuuzi hii ni kujipaka matope wenyewe hasa ukizingatia serikali inajiaanda kupokea viongozi wa kimataifa; hatuwezi kuhatarisha amani ya taifa letu ambayo tumeijenga na kuisimamia miaka yote; jaribuni kufikiria nje box huu ndio ukweli wenyewe; ila mwambieni huyo kinara wenu wa mauji uraisi atausikia salamu amezipata kwenye uchaguzi na arudi na kutubu kwa mola wake.
cc Ritz; NasDaz, ZeMarcopolo, Mohamedi Mtoi
 
Last edited by a moderator:
Binafsi sikulielewa kabisa tamko la serikali kupitia lukuvi.

Katika tamko lake amewanyoshea kidole wapinzani 100% kwamba wanahusika.

Isitoshe ameuongopea umma kwamba matatizo na majanga haya yote Ni Arusha tu (hapa alimlenga Lema moja kwa moja)

Je? anatuambia nini kuhusiana na

1. Vurugu za mtwara kiasi kwamba badala ya polisi jeshi limeingia kazin.

2. Majanga ya maandamano ya Da r es salaam na hususan vyuo vikuu nako ni Lema

3. Vurugu na mauwaji ya Daudi Mwangosi Iringa nako ni Arusha?

4. Uchomaji na uhalibifu wa nyumba za ibada zaid ya 60 kwa muda mfupi nako vipi?

5. Mauwaji ya viongozi wa dini mfurulizo anatuamiaje?

6. Vipi kuhusu uhusika wa mwigulu katika utunzi na utowaji video feki ya Lwakatale

7. Vipi kuhusu tetesi za ushiriki wa mwigulu katika mauwaji Usa rver, Ndago, Utesaji-Kibanda, amehojiwa walau kuutafuta ukweli?

8. Vurugu za kuchinja, Mwanza, Mbeya, Geita nk.

9. Nasali kapigwa vibaya sijuwi hawa chadema ni vichaa kiaSI KWAMBA wanapiga mpaka wabunge wao?????

Nachelea kusema Lukuvi ametoa tamko la kijinga na kipumbavu na kwa nchi inayojali na kuthamini uhai, haki na utawala bora Lukuvi mpaka kufikia muda huu angewajishwa kwa maelezo tata na alipawa kuwa shahidi wa kwanza mahakani maana anawafahamu.

Mkuu,

basi Mungu wangu na anisamehe. Lukuvi anatuhumu cdm alafu anatoa dau la pesa yote ili akamatwe nani? hawa jamaa hawana huruma hata kidogo! waliokufa hawajazijwa alafu anatoa kejeri za namna hiyo?
 
Unapotaka kuchangia mada hii kuna roho inakuja inakutoa ufahamu ni namna gani uwasilishe taarifa then unapoteza point zote. Basi omba roho mtakatifu akutangulie kabla hujaandika chochote hakuna kitu apendacho shetani zaidi ya UPENDO kuondoka kwenye jamii yeyote. Tunapokuwa na viongozi wategemeao mizimu kuongoza ndipo matatizo kama haya hutokea.
 
Iweke ccm mbali na watoto ni sumu iuayo bila huruma.....
 
Zogwale
tatizo lenu kubwa ni kukimbia ukweli, hao watanzania wa kawaida nimewasiliana nao Ritz ni mtanzania wa kawaida; kwa maovu yenu mnataka kulaumu wengine? Ndani ya Chadema kuna mzozo wa nani agombee uraisi; Mbowe ameonyesha nia kugombea na hasa ukizingatia anaendelea kukomaa kisiasa; yupo mhusika mkuu ndani ya chama chenu ambaye yupo tayari kuona binadamu mwenzake apoteze maisha ili yeye apewe nafasi hiyo; CCM haiwezi kufanya vitu vya kipuuzi hii ni kujipaka matope wenyewe hasa ukizingatia serikali inajiaanda kupokea viongozi wa kimataifa; hatuwezi kuhatarisha amani ya taifa letu ambayo tumeijenga na kuisimamia miaka yote; jaribuni kufikiria nje box huu ndio ukweli wenyewe; ila mwambieni huyo kinara wenu wa mauji uraisi atausikia salamu amezipata kwenye uchaguzi na arudi na kutubu kwa mola wake.
cc Ritz; NasDaz, ZeMarcopolo, Mohamedi Mtoi
Mkuu umejieleza kwa upande wako na ni mawazo yako nayaheshimu. Msimamo wangu uko palepale kuwa CDM haiwezi kujiangamiza!!!!?? Nitasimamia usemi huu hadi niingie kaburini. Mimi binafsi si mwanachama wa SSM wala CDM ila ni mpiga kura mzuri sana na ni analyst. Yanayoendelea kuanzia kuchoma makanisa, kurusha mabomu katika ibada za kikristu, kuua na kujerushi katika mikutano ya CDM si mpango mdogo, ni mzito sana na umesukwa haswa!!! Sitaki kusema mengi hapa naweza kusema si pa kuyasemea ila mambo ni mazito, ni hofu za siasa kuchuja na nyingine kupanda!!
 
Back
Top Bottom