USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,776
- 25,790
Hassanein Hiridjee Ndio jina lake Yeye ni mmiliki wa Axian Group ambayo inamiliki Axian Telecom yenye makao yake nchini madagascar mwaka 2022 kampuni ya axian Telecom ilinunua hisa za Tigo na zantel kutoka kwa Millcom.
Lakini pia Mtanzania Rostam Azizi ana hisa katika Axian Telecom.
Kumekuwa na mkakati endelevu kwa kuibadilisha jina toka Tigo kuja kuwa Yas na huu ni mkakati wa mitandao yote wanayi miliki hapa africa kuwa ni Pan african itakuwa kitu kimoja.
USSR
z