Huyu hapa mmiliki wa Yas

Huyu hapa mmiliki wa Yas

Duh! Kulitamka tu ni shughuli pevu, wengine wanatamka yash, wengine yes, kasheshe zaidi ni mixx bya yas, hiyo mixx wengine wanaitamka miksi, wengine miss ni tafrani tupu katika matamshi ya kampuni hii. Waliobuni jina na swaga yake ya kutuma na kupokea fedha akili zao wanazifahamu wenyewe
😂😂😂 Hatari sana😂😂😂
 
Back
Top Bottom