Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
Yas! Nyash! As! Tigo!
Majina yote tafrani tu
Majina yote tafrani tu
Napenda kulipa kodiSawa
Kwahiyo Yas Kibongo bongo siyo TIGO 🐼
Hao watajuta sana miaka yote kutotumia Yas Pesa. Ingembamba kweli kweli hilo jina. Lakini kwa sababu upeo wa ubunifu wao ndipo ulipoishia, hakuna namna.huduma zimekuwa mbovu sana ukituma hela au kupokea hela meseji hazirudi wala kuja na jina ni baya kwanini wasingeweka Yas pesa kuliko hayo ma mixx
Seychelles Kuna usafiri wa maji kutokea Dar au ZanzibarMadagascar haya ngoja tuendelee.
Seychelles, Mauritus nk nakumbuka enzi zangu za usailor, Kuna watoto wazuri sana hayo maeneo, rangi rangi fulani original, important thing kwangu ilikuwa pressure washer tu kabla mambo hayajaendelea bila kusahau pale Manila na wajuaji wa Durban.. hahahaha Dunia bwana, pongezi kwa mabaharia wote aka wazee wa deep sea, high waves and cool night, kontena lazima zifike.
Inayodaiwa ni Millicom ambayo ndio ilikua mmiliki wa Tigo by then.Kwa hiyo Tundu Lisu anaishitaki Tigo isiyokuwepo au siyo??
Ni NYASH Sema hapo waliondoa N mwanzoni na H mwishoniSawa
Kwahiyo Yas Kibongo bongo siyo TIGO 🐼
Lakini pia Mtanzania Rostam Azizi ana hisa katika Axian Telecom.
ngoja tuone itakuaje na mwanasheria wake wa kimataifaKwa hiyo Tundu Lisu anaishitaki Tigo isiyokuwepo au siyo??
Mk...nd.... wa.... bibi yakoKwa hiyo Tundu Lisu anaishitaki Tigo isiyokuwepo au siyo??
Ww ni ke au meAna kipara kizuri
Kwakweli !View attachment 3165942
Nipo katika kuhariri na kupublish huku Wikipedia maana ya yas maana wabongo wengi ni mabongolala
Ana kipara kizuri
Hivi,unamaanisha nini so far?Ana kipara cha helaaaa
Mwanamke mwenye ......... Ndio tajiri karne ya 21Hivi,unamaanisha nini so far?