Huyu hapa Jesca John Magufuli

asante ila tujipange maana mmmh prezda mwenyewe hachelewi kuzingua uyo..!!
Usihofi mshenga hauwawi. Andaa posa tuipeleke fasta kabla wengine hawajajitokeza. Mtoto katulia sana hana makuu, ikulu itakuwa ndo nyumbani kwako. Utalindwa kama Rais, utaishi kwa furaha bila hofu ya shida za kimaisha! Mungu akupe nini mwakwetu?
 
Duh! JF imenitoa jasho!! Stress zimeisha ngoja nikalale. Hamna dogo nyie.
 
We kaenda zako huko. Tumediscuss sana upuuzi unaouleta hapa.. Ikajulikana kwamba sivyo ndivyo mahesabu yanakataa. Unaturudisha nyuma.
 
Na nyie kwa kujipendekeza.
 
daaah aisee kweli kuna jamaa hapo anapiga kilugha nimemstukia atanipora jiko kama vp j2 tufanye yetu
 
Black beauty and lovely smile. Girl your daddy is doing a wonderful job for Tanzanians. Usikilize fitina za mafisadi.
 
jesca najua unasoma humu ama unaambiwa vipi una mtu?...... hayo ya F F F F F achana nayo mwaya. mengine naona una first class.
 
mbere je Jesca kakuruhusu uweke picha yake hapa? akijua!! akamwambia baba jesca, watatumwa vijana kuja kukuvuta na kucha zako halali yako ama wakikosa basi TCRA mkurugenzi akiambiwa kuwa baba jesca mwanaye katolewa mtandaoni basi kwa kuogo akutumbuliwa atakushukia nakushgauri UIondoe , ila kama ameridhia basi poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…