Huyu hapa Jesca John Magufuli

hivi wanamshindisha njaa maana afya yake kidogo ime loose connection
 
Humuezi huyo,anaweza akakuambia kulala ni SAA moja usiku,ukimwambia vipi kazi ni,anaweza kukwambia kazi kazi kitu gani,
 
Mkuu si muda unapotea, Ukipotea na ukirejea utupatie mrejesho nini kimekutokea huko
 
Humuezi huyo,anaweza akakuambia kulala ni SAA moja usiku,ukimwambia vipi kazi ni,anaweza kukwambia kazi kazi kitu gani,

Na pia anaweza akaambiwa siku ya kucheza mechi ni ijumaa tu, akiuliza vipi jumamosi ataambiwa jumamosi ni kulala tu hili jumapili muwahi kuamkia kanisani na nisije nikasikia mme nanihii jumamosi.
 
Ila Tanzania yenye neema naiona inakuja kwa kazi,ndege tunazo,tena sasa hivi mtanzania hata ukiulizwa kuwa nchi yako INA nini unalo LA kujibu,barabara tunazo nzuri,ndege tunazo,kiongozi wetu ni MTU anaependa tuwe na vitu vyetu wenyewe,ila wasioelewa wanapinga kila kitu,tuacheni roho mbaya
 
Ww utakuwa na matatzo inabidi tufunge na kuomba kwa ajili yako. Maada ni mtu kampenda mtu ww unaleta mambo ya ndege inahusiana nn? Soma alama za nyakati.
 
Mnaongea utumbo kwanza sikujua kama ni huyo binti wa watu nisingechangia chochote,kwendeni zenu huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…