tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,328
Mm mwenyewe sikuwahi kuwaona hao kwa macho yangu japo nilisikia shughuli yao ilivyo pevu.
Ana raha gan mkuu zaidi ya kero?Asante,zile kero sitaki kukumbuka japo kakiwa kamoja kana raha zake
unakuwa unasuguasugua mguu chini huku unaendelea na shughuli zingine ndogondogo kama kutafuna karanga nk.Ana raha gan mkuu zaidi ya kero?
unakuwa unasuguasugua mguu chini huku unaendelea na shughuli zingine ndogondogo kama kutafuna karanga nk.
Labda wa miaka hii ndio awamjui FUNZA lkn sie wakongwe tunamjua sana funza, chanzo chake uchafu na msimu wa korosho wanakuwe wengi sana hao.Wa dar hawajui hilo watu wa dar ndembendembe
Huyu funza anaundugu na funza maisha?
nahisi hii itakuwa inatoka na mazingira ya mahali fulani mimi tangu nikue sijawahi kuwaona hao wadudu wakitoka miguu kwa mtu zaidi ya stori tu.huyo anayedai hajawahi muona ni malkia anaishi palace ndipo alipozaliwa
Amakoto yawe!
Kigoma hiyo
Kama ulizaliwa baada ya 1979 na kuishi mjini huwezi elewa ni kitu gani hii.Ndo nn?
Inawezekana asijue kutegemea na miaka na mazingira aliyokulia. Hii kitu ilishamiri sana vijijini kwenye mavumbi miaka kabla 1970Watu bhana,atadai hajawahi muona!!Mungu anakuona