Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Nimewaletea niwaonyeshe mlikuwa mmeshamsahau yuko mlangoni 😛😛😛
FunzaNdo nn?
Kawaida sana hiyo mkuuAma kweli waAfrika tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu. Wewe hapo ilitakiwa uwe hospital chini ya uangalizi wa Madaktari bingwa ukipatiwa matibabu Stahiki. Ila ndugu umetulia kwenye kochi tulii huku unatafuna bumunda kwa raha zako.
Watu bhana,atadai hajawahi muona!!Mungu anakuonaNdo nn?
Watu bhana,atadai hajawahi muona!!Mungu anakuona
huyo anayedai hajawahi muona ni malkia anaishi palace ndipo alipozaliwaWatu bhana,atadai hajawahi muona!!Mungu anakuona
Wa dar hawajui hilo watu wa dar ndembendembeAma kweli waAfrika tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu. Wewe hapo ilitakiwa uwe hospital chini ya uangalizi wa Madaktari bingwa ukipatiwa matibabu Stahiki. Ila ndugu umetulia kwenye kochi tulii huku unatafuna bumunda kwa raha zako.
Watu bhana,atadai hajawahi muona!!Mungu anakuona
Mmmh yaani hujui kama anakaaga mguuni pia?Hamna sio kwamba sijawah muona,nawaona wengi kwenye maembe na vitu vilivyooza ila sikuielewa picha na jins alivyo hapo mguuni.
Mmmh yaani hujui kama anakaaga mguuni pia?
Sawa....kweli tunatofautiana,nikikumbuka miaka ile hadi nashindwa kuvaa viatu daah....acha nikae kimyaSijawah shuhudia,unaweza usiamin lakin ndo ukweli huo