Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

Huyu hapa Bilionea aliyepitishwa kugombea Singida Kaskazini

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
2,882
Reaction score
7,916
Hongera sana ponjoro mwenzangu, mimi Ponjoro wa Kinondoni nimepata amani kuona jamii ya ponjoro inakubalika sana Tanzania.

Mimi pia nimepita kinondoni, asanteni sana. Kwakuwa mifumo inasomana basi ushindi ni uhakika.

SASA WEWE UNAYESEMA WANANCHI HAWATUKUBALI, UNABISHA ULIKUWEPO?
FB_IMG_1756038646295.jpg
 
Sisi tumewaachia nyie maponjoro hii Nchi, mtusaidie tu kupata masoko ya mazao yetu tu

Kuhusu kututawala, mbona mlianza tangu enzi za Ukoloni mkiitwa tabaka la kati wakati huo sisi tukiwa tabaka la chini 🥲
Sawa sawa, wewe unafaa sana. Ntakuteua kuwa kiongozi wa makuli kwenye kampuni yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom