Sie watu wa pwani ndo tulomfunda huyu mzee wenu kuvaa kistaarab (sarawili + kikoi), yy alikua mtu wa makaputura na masulupwete..pichani dhahiri ni baada ya kuoneshwa jinsi ya kuketi wakti ukialikwa ustaarabuni. najua wabara mtapinga/
Msingi wa uchumi mbovu huyu ndo aliyeutengeneza.Halafu leo mnamsifia kweli hamnazo.Ila yako mazuri amefanya ila ni machache sana ukifananisha na uharibifu aliofanya
wanaomchukia nyerere ni wale wenye element za kifisadi na waliokataa kuwapeleka shule watoto wao au walikataa wenyewe kwenda shule eti watalishwa nguruwe....
aliweza ku-debate na wazungu hadi wakaiacha tanganyika huru..wale wazee wa saigon shule sufuri wameishia kulalamika wakati walipowaona wazungu walikimbia sababu lugha haipandi
wanaomchukia nyerere ni wale wenye element za kifisadi na waliokataa kuwapeleka shule watoto wao au walikataa wenyewe kwenda shule eti watalishwa nguruwe....
aliweza ku-debate na wazungu hadi wakaiacha tanganyika huru..wale wazee wa saigon shule sufuri wameishia kulalamika wakati walipowaona wazungu walikimbia sababu lugha haipandi
hakupiganaia uhuru peke yake lakini yeye ali-play a great role,kuhusu uchumi tafuta takwimu za kipindi cha nyerere na sasa,angalia thamani ya fedha enzi za nyerere na sasa,alikusomesha bure hadi chuo bure(if you ever got there)bila dhahabu na almasi,tanzanite,..uzalendo ulikuwa mkubwa kuliko sasa..on top of that hakujilimbikizia mali kama hawa wa sasa ambao utajiri wa watoto wao ni sawa na bajeti ya wizara...sihitaji kuwepo kipindi cha nyerere kujua historia,kama ulikuwa muhujumu uchumi utamchukia nyerere hadi kufa...Angekuwa wa maana sana kama hangetufikisha alipotufikisha. Pengine ubwana mdogo ni bora uulize tulifika wapi au waambie hao wenzio wakuonyeshe kitu chochote cha maana ili uwe na kumbukumbu ili usiwe unashabikia bila ya kuwa na kitu cha kuonyesha kilichofanywa na huyo babu yako.
Hivyo unafikiri huo uhuru alipigana peke yake?
wazungu watuache?! Hivi unatambua Ukoloni mambo leo? (Neo colonialism)
Nyerereism bado inawasumbua! Hata wakijitahidi wanashindwa kwani bado wako wengi wanadanganywa na utakatifu wa nyerere hivyo si rahisi kuuacha hata kwa mdomo tu na nyuma ukimpinga kwa vitendo!
Hakuna binadamu asiyekuwa na mapungufu yake, na Mwalimu hakuwa malaika ila pale alipofanya vizuri ni vema asifiwe
Enzi za Mwalimu kulikuwa hakuna matabaka ya waliokuwa nacho na wasiokuwa nacho kama sasa, kulikuwa hakuna rushwa kama ilivyo sasa,
Alikuwa anaudhubutu wa kukemea maovu na kuadibisha waliokosea.
Lakini na Tanzanite yetu isingekuwa imeibwa yote
Mimi naona wengi wenu bado hamjui mnasema nini, pengine naomba mnitajie basi viongozi bora wa Tanzania ili tuwamwagie sifa na pongezi, na ili tumchafue Nyerere kwa kulinganisha.Vinginevyo ni roho mbaya, udini, ushabiki, kukosa shukurani na kukosa moyo wa uzalendo hasa ndivyo vinavyokusumbueni!
hakupiganaia uhuru peke yake lakini yeye ali-play a great role,kuhusu uchumi tafuta takwimu za kipindi cha nyerere na sasa,angalia thamani ya fedha enzi za nyerere na sasa,alikusomesha bure hadi chuo bure(if you ever got there)bila dhahabu na almasi,tanzanite,..uzalendo ulikuwa mkubwa kuliko sasa..on top of that hakujilimbikizia mali kama hawa wa sasa ambao utajiri wa watoto wao ni sawa na bajeti ya wizara...sihitaji kuwepo kipindi cha nyerere kujua historia,kama ulikuwa muhujumu uchumi utamchukia nyerere hadi kufa...
naona unawasifu na kuwapenda sana wale na hawa wanafisadi nchi, mpaka mkuu wa kaya anasema orodha yao ninayo lkn anawaogopa, tupeni basi waliofanya vizuri kuliko Nyerere!!!!!!!!!!!!!!!Kijana hii mada haikuanzishwa nasi tulo wadini na roho mbaya bali ilianzishwa na watu kama nyinyi wadini na wasiofahamu au wasiotaka ukweli. Jambo la busara ni kuwa nenda na changamoto yetu kwa kutuletea mazuri ya huyo unayemuona mtakatifu ili tuyajadili na sio kusema kitu fulani kizuri huku ukiulizwa uzuri wake unashindwa kuutowa.
naona unawasifu na kuwapenda sana wale na hawa wanafisadi nchi, mpaka mkuu wa kaya anasema orodha yao ninayo lkn anawaogopa, tupeni basi waliofanya vizuri kuliko Nyerere!!!!!!!!!!!!!!!
Sie watu wa pwani ndo tulomfunda huyu mzee wenu kuvaa kistaarab (sarawili + kikoi), yy alikua mtu wa makaputura na masulupwete..pichani dhahiri ni baada ya kuoneshwa jinsi ya kuketi wakti ukialikwa ustaarabuni. najua wabara mtapinga/
Wabara kubisha ni jadi yenu, no wonder/Hivi watu wa pwani ni wastaarabu?wengine ukisema we mtu wa pwani ni kujidharaulisha.
thibitisha hii dhana yako/sasa mbona kila kukicha mnamlaumu???
dhahabu huwa haipotezi thamani yakekila zama na kitabu chake