Mwanaume hanaga chaguo

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Mwanaume hanaga chaguo.

Ila mwanamke ndo anachaguo.

Mwanaume ni wa mwanamke yeyote ila mwanamke sio wa wanaume wote.

Katika vitabu vya Dini vinasema.

1 wakoritho 11:9

Wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume

Katika vitabu vya Dini ni haramu kuoa mwanamke aliye pewa talaka Na mume wake . Usinihulize kwanini sababu anajua Mungu mwenyewe

Kwa hiyo ukimpata mwanaume anaye kujali .kukuheshimu .Na kukupenda ata kama ana kucheat saana mshikilie uyo. Hiyo ni Neema. Kuna wengine wana nogemea akionja nje tu ana kusau mazima

Usipinzane Na mwanaume kuwa akikucheat Na wewe una mcheat unajivuruga mwenyewe akikuacha usifikiri mchepuko Wako atakuheshimu mwishowe atakuona Malaya tu na kukuacha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom