kwa hiyo yale matunguli ya maji marefu yamefunika ya wachawi wote ndio maana kamati ya wanga wakampa uprofesa?ok nimekuelewa!!!!Siku hizi kuna u doctor wa kupewa kama zawadi unaitwa "U DOCTOR WA HESHIMA" kama aliopewa KIKWETE kule Kenya na aliopewa REGINALD MENGI, hivyo nadhani hata huyo Clesencia Shule alipata hiyo bahati ya kutunukiwa u doctor.
Kwa upande mwingine ninavyoelewa mimi U professor hausomewi, hakuna mtu amesoma akata degree nyingi mpaka akaitwa Professor.
Mtu wa elimu yoyote anaweza kuwa Professor kama ataweza kugundua kitu ambacho hakijagunduliwa na mtu yeyote, na kudhibitishwa kuwa ni kweli basi mtu huyo hutunukiwa uprofessor.
Niulizeni Mimi....nimegonga sana hiyo ngozi wakati niko mkwawa......ni dr pia wa Yale mambo yetu
Kwa mfumo wa elimu wa Tanzania kabla ya mtu haja specialize kuwa DR au proffesor uwa anapitia masomo mbalimbali,kuna dada mmoja kwenye mdahalo ulioonyeshwa na ITV Jumapili anaitwa Clesencia Shule aliongea baadhi ya vitu ambavyo vilitufanya wengi tujiulize uwezo wake academically na uelewa wake kwa ujumla,hasa alipokuwa anawakanya vijana wakae mbali na siasa kuwa heti haina maana yoyote katika maisha yao.Mimi na wenzangu tulijiuliza kuwa huyu dada kapitia mfumo gani wa taaluma hata hasijue umuhimu wa siasa na utandawazi?pia hiyo Doctorate ni ya nini hasa na aliipiatia chuo gani?wakati nikiwa chuo miaka ya 47 tulikuwa na muhadhili mmoja wa contemporary politics aliyekuwa anatoka nchi za kikomunist alikuwa anaitwa VAN DONGE-Doctoral candidus,huyu naye alikuwa confused confused katika mada zake na mnaomkumbuka alizoea kutembea na kikapu cha ukiri akiweka material yake,tulipokuwa tuna argue naye alizoea kusema kuwa inawezekana mko sahihi lakini if you want to pass your exam you have to write what your teacher wants to read,na from then nilianza ku question bahadhi ya doctorates za watu.
bado kuna dr dhaifu
Sisi huyu Van Donge alitufundisha politics of underdeveloped countries miaka ya mwanzo ya 80. Kiukweli alikuwa na upeo mkubwa sana sema tu kuwa baadhi ya watu walikuwa hawamuelewi. Je OMEGA ulikuwa mlimani wakati huo? unawakumbuka Dr campbell,Dr Munishi, Prof Bavu, Dr.katabaro Miti, Sr Kente,Liviga,Dr Nindi,Shayo wa DS, Dr Msabaha n.k. Je unawakumbuka mzee punch na mambo ya hall threeKwa mfumo wa elimu wa Tanzania kabla ya mtu haja specialize kuwa DR au proffesor uwa anapitia masomo mbalimbali,kuna dada mmoja kwenye mdahalo ulioonyeshwa na ITV Jumapili anaitwa Clesencia Shule aliongea baadhi ya vitu ambavyo vilitufanya wengi tujiulize uwezo wake academically na uelewa wake kwa ujumla,hasa alipokuwa anawakanya vijana wakae mbali na siasa kuwa heti haina maana yoyote katika maisha yao.Mimi na wenzangu tulijiuliza kuwa huyu dada kapitia mfumo gani wa taaluma hata hasijue umuhimu wa siasa na utandawazi?pia hiyo Doctorate ni ya nini hasa na aliipiatia chuo gani?wakati nikiwa chuo miaka ya 47 tulikuwa na muhadhili mmoja wa contemporary politics aliyekuwa anatoka nchi za kikomunist alikuwa anaitwa VAN DONGE-Doctoral candidus,huyu naye alikuwa confused confused katika mada zake na mnaomkumbuka alizoea kutembea na kikapu cha ukiri akiweka material yake,tulipokuwa tuna argue naye alizoea kusema kuwa inawezekana mko sahihi lakini if you want to pass your exam you have to write what your teacher wants to read,na from then nilianza ku question bahadhi ya doctorates za watu.
Vp safi illi tueneleze ulipoishia?Niulizeni Mimi....nimegonga sana hiyo ngozi wakati niko mkwawa......ni dr pia wa Yale mambo yetu
Siku hizi kuna u doctor wa kupewa kama zawadi unaitwa "U DOCTOR WA HESHIMA" kama aliopewa KIKWETE kule Kenya na aliopewa REGINALD MENGI, hivyo nadhani hata huyo Clesencia Shule alipata hiyo bahati ya kutunukiwa u doctor.
Kwa upande mwingine ninavyoelewa mimi U professor hausomewi, hakuna mtu amesoma akata degree nyingi mpaka akaitwa Professor.
Mtu wa elimu yoyote anaweza kuwa Professor kama ataweza kugundua kitu ambacho hakijagunduliwa na mtu yeyote, na kudhibitishwa kuwa ni kweli basi mtu huyo hutunukiwa uprofessor.