Huyu dr wa kwenye mdahalo wa itv jumapili kasomea fani gani?

Mimi huwa nasikiliza radio wapo98.1 Fm, kwakweli kuna watu wana mochango mizuri sana katika jamii yetu na hawana elimu kubwa!! Kila jumatatu hadi ijumaa- nafahamu mambo mengi ya busara.
 
Tatizo ni kwamba hatukupata muda wa kumuuliza kwa nini vijana wasiingie kwenye siasa. Labda alikuwa na hoja kama angeulizwa angetupa majibu. Aristotle aliwahi kusema 'man is a political animal' kwa hiyo kwa kuzaliwa tu sisi ni wanasiasa maana hata tusiposhiriki moja kwa moja siasa huathiri maisha yetu. Lakini mtu mwingine anaweza akapingana na hoja hii.
 
Mimi huwa nasikiliza radio
wapo98.1 Fm, kwakweli kuna watu wana mochango mizuri sana katika jamii
yetu na hawana elimu kubwa!! Kila jumatatu hadi ijumaa- nafahamu mambo
mengi ya busara.

mishale gani mkuu! ahsante!
 
Back
Top Bottom