JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,525
- 7,594
Kulishawahi kuwa na mbunge kupitia CUF.Nashangilia nini?
Kigamboni haijawahi kuchagua mpinzani!
Kulishawahi kuwa na mbunge kupitia CUF.Nashangilia nini?
Kigamboni haijawahi kuchagua mpinzani!
Hawezi kujua, hao watu ndo rais anawategemea mambo yaende.....asimchukulie tu ni mtu mdogo akataka kumwita kiroboto.Kama ana hoja asikilizwe, taasisi makini ya urais haipaswi kumuona diwani kama mtu mdogo unavyodhania
Nakumbuka hii... JPM: "wewe nyumbani kwako kuna lifti?" Mzee: Nyumba yangu siyo public buildingkama jiwe aligomewa pale Dodoma na yule boss kwenye ujenzi wa Hosp Dodoma ndio iwe ije Bibi
kuna mzee alimbishia jiwe face to face
Laana ya kuiba uchaguzi inawaandama.Diwani ni mtu mdogo sana kuidhalilisha taasisi ya urais namna hiyo
Masrahi=Maslahi
Naam, labda ulete jingine. Ukikosolewa kuwa mpoleNdiyo Unachokiweza
Hee! kumbe ulikuwepo mwendo! Hebu tuongezee nyama hapo mwisho na George Bush tupate ufahamu kamili mkuu.Naam Marehem Masudi Ali Masudi akapewa Marehemu KK nae mi5 akazingua kwenye nauli ya pantoni, akapigwa chini, akapewa CUF Frank Magoba, mi5 akazingua akapigwa chini, Akarudishwa mwana Kigamboni Chumu bin Msomi, mi5 akazingua akapigwa chini. Akapewa Ndugulile mi5 akakomaa kwenye mradi wa kigamboni na George Bush akaongezwa mi5.
Kweli. Hata wasipokuwepo wakuu wa idara tu wanatosha kabisa kuendesha halmashauri. Kwanza wengi wanaingia kwenye vikao kupinga tuuuu na kuuliza maswali yaleyaleDiwani ni mtu mdogo sana kuidhalilisha taasisi ya urais namna hiyo
Kwahyo hafai kukoselewa au kukoselewa ni kosa?Ama kweli mama Samia ni mpole sana. Haya mambo anatakiwa kuyapatia ufumbuzi wa papo hapo. Hawa sugu au wagomeaji wa maamuzi yake wanaweza wakawa ni wengi na matokeo yake haitoleta picha njema. Hiyo alama ya kujiuliza asipende kuiweka manake inatoa mwanya wa kukosolewa
bado mpaka watakuwa wanaingia vikaoni na pistol viunoniKikwete Alishasema Ccm Wanaogopana Kiasi Kwamba Hawaachiani Maji Mezani
Diwani katisha sana, yani amwogopi RaisiKuna watu wana vifua aisee
Mineral sand deposits are wide-spread in Australia; they occur along the coast of eastern Australia from central New South Wales to Cape York in Queensland.Zirconium is extremely hard and resistant to corrosion so is used to make pipes for harsh chemicals, nuclear reactor cladding, heat exchangers and speciality alloys. Zirconium is found in computer disc drives, in lightweight clothing and in many domestic products such as ballpoint pens and wear-resistant knives. Hafnium is used in nuclear control rods and super alloys. Zircon products are also used in engines, electronics, spacecraft and the ceramics industry.
Kukosoa au kukosolewa ni haki ya mtuKwahyo hafai kukoselewa au kukoselewa ni kosa?
Eti bwana.Kama maswali ya diwani hayakujibiwa mkaishia kumtisha kama mnavyofanya kwa Polepole wacha nae awaburuze tu, tena uzuri wake mpaka mwenyekiti wenu analia, ila msiende kumuibia TV yake.