Huyu Diwani wa Kigamboni aliyemdindia Rais Samia na kugomea hafla ya utiaji saini ni nani?

Kaunti ya Kwale
Kenya

JOHN-MUNYES-THOUGHT.jpg

Huenda baadhi ya jamii zilizoko katika maeneo yanayo chimbwa madini kaunti ya Kwale zikanufaika na rasilimali hiyo, baada ya kuzinduliwa kwa kamati za makubaliano ya maendeleo ya jamii CDA katika kaunti hiyo.
Akizungumza katika hafla ya kuzindua rasmi mkataba wa kamati hiyo, waziri wa Madini na Mafuta nchini John Munyes, amesema kuwa wizara hiyo tayari imeweka sahihi mkataba utakao pelekea jamii hizo, kunufaika na asilimia moja ya mapato ya kampuni za uchimbaji madini, na kuwekekeza katika miradi itakayo faidi jamii.
Hata hivyo afisa anayesimamia miradi ya jamii, katika kampuni ya uchimbaji madini ya Base Titanium kaunti ya Kwale Pius Khasim, ameahidi kushirikiana na wenyeji katika kuhakikisha kuwa, wanaendeleza miradi ya maendeleo katika jamii.

Source : lulufm.co.ke

Viongozi mashinani na wananchi wa kaunti ya Kwale iliyopo Pwani nchini Kenya walihusishwa ktk mradi huo mkubwa wa gharama ya dola millions 350 za kimarekani. Gavana wa kaunti atangaza mgawanyo wa mapato utakavyokuwa Mradi wa uchimbaji madini ya Titanium Kenya | DW | 09.05.2018

Ili kupooza moto miongoni mwa wakaazi wa Kwale juhudi kadhaa zimechukuliwa na serikali ya kaunti kuhakikisha wenye mashamba na makaazi wanashirikishwa ... mchanga huo wa thamani utasafirishwa kwenda ngambo kutengeneza vibunio vya rangi, terazo za sakafuni, vifa vya kisasa vya hospitali n.k

 
Diwani yupo na Polepole, mliodhani polepole yuko peke yake mnajidanganya. Haiwezekani mradi ukatiwa saini bila wananchi wa maeneo husika kujua nini kinaendelea kwenye mashamba yao - Mh. Rais wasaidizi wako wamekulisha tango pori - huu mradi wa mchanga una usiri mkubwa.

Diwani yupo sahihi, hawezi kuupeti peti mradi ambao undani wake umegubikwa na usiri mkubwa.
 
Naam Marehem Masudi Ali Masudi akapewa Marehemu KK nae mi5 akazingua kwenye nauli ya pantoni, akapigwa chini, akapewa CUF Frank Magoba, mi5 akazingua akapigwa chini, Akarudishwa mwana Kigamboni Chumu bin Msomi, mi5 akazingua akapigwa chini. Akapewa Ndugulile mi5 akakomaa kwenye mradi wa kigamboni na George Bush akaongezwa mi5.
Hee! kumbe ulikuwepo mwendo! Hebu tuongezee nyama hapo mwisho na George Bush tupate ufahamu kamili mkuu.
 
Ama kweli mama Samia ni mpole sana. Haya mambo anatakiwa kuyapatia ufumbuzi wa papo hapo. Hawa sugu au wagomeaji wa maamuzi yake wanaweza wakawa ni wengi na matokeo yake haitoleta picha njema. Hiyo alama ya kujiuliza asipende kuiweka manake inatoa mwanya wa kukosolewa
Kwahyo hafai kukoselewa au kukoselewa ni kosa?
 
Huyo Diwani kama ana hoja basi ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobakia kwenye hii nchi...

Kama mtu ana hoja asikilizwe,, mjadiliane muone mnafikia maamuzi gani...

Pia Rais nae kukaa analalamika lalamika utafikiri hana madaraka ni ujinga
 
Bagamoyo Project

To complement Fungoni, Tajiri and Coburn projects, the Company has also made some significant mineral sands discoveries at the Bagamoyo and Sudi Projects in Tanzania, adding to the portfolio value.

The Sudi project is located some 30km by sealed road to Mtwara port. Sample testwork confirms Sudi has a high unit value assemblage averaging 11.5% zircon, 4.7% rutile and 64.4% ilmenite; one composite contained 17.8% zircon. Next on the agenda is a resource drilling campaign to define to the extents of the mineralisation.

Strandline’s 100%-owned Bagamoyo tenements are located approximately 40km north of Dar es Salaam and close to the proposed Bagamoyo port development in Tanzania.

The Company has estimated a maiden Exploration Target at Bagamoyo comprising 78 to 156Mt at 3% to 4.5% THM (see ASX release dated 17 September 2018). Minor field activity was performed during the quarter and a further drill program is required to test the veracity of the Exploration Target.

Laboratory THM analysis results from this auger program reaffirmed the highly prospective nature of the Bagamoyo region. The results show widespread heavy mineral sand enrichment over the various soil anomalies BG-2, BG-3, BG-4 and BG-5, with multiple holes showing higher grade THM at depth. Bagamoyo is emerging as a significant new Tanzanian mineral sands province and the Company will continue to perform exploration and evaluations to define the deposits.

Source : Projects | Strandline Resources Limited
 
Tanga South (Tajiri) Mineral Sands Project

The Tajiri deposits are situated in northern Tanzania near the Port City of Tanga, stretching along 30kms of coastline to the north. The 100%-owned tenements comprise a series of higher-grade mineral sand deposits along a 30km mineralised corridor, including the T1, T2, T3, T4, TC, Tajiri North and Vumbi deposits.

Mineralisation at Tajiri starts at surface, with no overburden and contains large coherent higher-grade domains comprising mostly high-value titanium-dominated mineral assemblage, with elevated zones of zircon and occasionally almandine garnet.

Tajiri hosts a world-scale JORC-compliant Mineral Resource Estimate of 268Mt @ 3.3% THM, with a contained Heavy Mineral (HM) content of 8.8Mt, including in-situ rutile (580,000t), zircon (335,000t), ilmenite (5,206,000t) and almandine garnet (1,477,000t).

Source : Projects | Strandline Resources Limited
 
Australia has the world's largest resources of zircon (about 35% of the world's zircon). Australia also produces more zircon than any other country; in 2016 alone, 560 kt of zircon concentrate was exported from Australia. Most of this material was extracted from heavy mineral sand deposits in Victoria and Western Australia. These alluvial deposits contain mainly sub-millimetre grains of zircon derived from the weathering of rocks.

A pile of fine white sand sits in front of a glass jar of sand. The jar is labelled zircon.
Zircon sand. Source: Geoscience Australia.

Uses​

A long thin cyliner of copper coloured metal
Zirconium
Zirconium is extremely hard and resistant to corrosion so is used to make pipes for harsh chemicals, nuclear reactor cladding, heat exchangers and speciality alloys. Zirconium is found in computer disc drives, in lightweight clothing and in many domestic products such as ballpoint pens and wear-resistant knives. Hafnium is used in nuclear control rods and super alloys. Zircon products are also used in engines, electronics, spacecraft and the ceramics industry.
Mineral sand deposits are wide-spread in Australia; they occur along the coast of eastern Australia from central New South Wales to Cape York in Queensland.

Read more : Zircon | Geoscience Australia
 
Kama maswali ya diwani hayakujibiwa mkaishia kumtisha kama mnavyofanya kwa Polepole wacha nae awaburuze tu, tena uzuri wake mpaka mwenyekiti wenu analia, ila msiende kumuibia TV yake.
Eti bwana.
 
Back
Top Bottom