Huyu demu vipi ?

Acha wagegede kwani we inakuuma nini? mind ur business.
 
Duu aisee pole sana vijana wa dot com mna mambo sana ni jambo la kuomba ushauri hili?mwambie akuonyeshe kitumbua
 
Atakuwa ameona mnafanana akili ndio maana anakufanyia hayo anayofanya
 
kwahiyo unaoba sifa kuja kumleta hapa? sasa hili jambo unataka ushauri gani? ok siku mkifumwa na bosi ndipo utapata jibu nzuri. fanya kazi uisaidie familia yako.
 
Mnafanyia ofisi gani? Sio milembe hapo!! Maana inaonekana wote wawili ni wagonjwa wa Akili. Mahali pa kufunuliana nguo sio ofisini ila ni chumbani .akili zenu zikipona tuta washauri vizuri mahala sahihi pa kuonyeshana mapaja na matumbo na hata vikojoleo sio ofisini machizi nyie
 

yale yale ya kibasa wa rafiki wa dadake..
 
hahaaahhaa sifanyi kazi milembe mkuu, kama vipi nikuunganishie upate kazi kama unapamaindi. ofisi letu la kisasa sio kama hayo maofisi yenu ya kizamani, zipo sehemu za kupumzikia,full refreshments na dstv bila kikomo,so tunajiachia lunch hours na baada ya kazi
 
chengine tafuta uzi unaoelekeza nini chakufanya kama unafanya mapenzi na mfanyakazi mwenzio sawa..
 
kwahiyo unaoba sifa kuja kumleta hapa? sasa hili jambo unataka ushauri gani? ok siku mkifumwa na bosi ndipo utapata jibu nzuri. fanya kazi uisaidie familia yako.

dah mkuu bosi mwenyew mkali kinoma,namlia timing tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…