Boloyoung
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 682
- 652
Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kumuomba demu wangu aniazime 10,000/= akanipa.
Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba.
Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- B, ile 10,000/= niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3"
SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEMU MWINGINE.