Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 174
Amekuwa ni rafiki wa mdogo wangu wa kike, ni rika moja na dogo langu, sasa nashangaa juzi kati hapo kanirushia ki2 cha msg eti ananipenda kupita kiasi, nimeshindwa kum judge asee, she is cute ila mdogo wangu akija kusikia bro wake namchukua rafiki yake itakuaje hapo? Embu nishaurini hapo wajameni