Swts
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,062
- 1,299
Ndugu wajumbe, mleta mada hajaelewa alichoambiwa au hamjamuelewa ninyi? Ujumbe uko hivi: "nimeambiwa napendwa na shem wangu". Ndivyo nilivyomwelewa...jibu lake ni hili, "nami nakupenda". Kumbukeni huyo shem hajasema wakangonoke, bali anampenda tu.
Arushaone, heheeh kizazi hiki hiki cha necta.??iwe nakupenda kaka...asante dada!!!no way easy!!!!
Last edited by a moderator: