Kwa kukaa single kipindi kirefu lazima atakuwa na sababu ya msingi. Hivyo katika mazungumzo yenu chomekea hilo swali.Huyu dada ni zaidi ya Miezi 6 tangu tumefahamiana
kiumri amenizid maana yeye ana miaka 30 na mm nna miaka 24 , maisha yake ya uchumi sio mabaya maana anafanya kaz na sio tegemezi
Tatzo ni maisha yake ya mahusiano kwa mda mrefu nimemchunguza nikagundua Hana mtu wala mtoto yuko single hata nilipomuuliza akaniambia hajapata mtu, jibu lililonipa wasiwasi maana yuko vzur kwa mwonekano
Niliamua kumtongoza sasa Leo amenipigia Simu akaniambia amekubali kuwa na mim
Kiukwel nampenda lkn ananichanganya simwelewi kabisa Kwnn Amekaa single mda mrefu na wala Sjapata resistance kumpata
Wakuu nishaurin
unamaanisha nin mkuu kusema Simba hafundishwi kula windo lake?Kwa kukaa single kipindi kirefu lazima atakuwa na sababu ya msingi. Hivyo katika mazungumzo yenu chomekea hilo swali.
Kuhusu kwa nini hakukuwa na kuzungushwa zungushwa baada ya kupeleka ombi lako... Kimsingi ipo hivi, simba hufundishwa mbinu za kuwinda lakini katu hafundishwi namna ya kula mawindo yake...
Hujui hata ulichoandika,,,Mkapime ARV zisije zikakuhusu..
Sasa kama sijaeleweka kwa nini uniquote??..acha ujingaHujui hata ulichoandika,,,
Hatutaki kukubaliwa kirahisiVijana bwana, umekubaliwa unaanza mbwembwe ulikua unamjaribu au?
Acha hizo,atakosa rahaa...Shushushuu huyoo yuko kazini. Kaa nae mbali hawaolewagi hao.