Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,187
Acha hizo,atakosa rahaa...
Ni ushauri tuu, nawajua wadada wa hivyoo.
Acha hizo,atakosa rahaa...
inaonekana kabisa umedandia madauna umri gani mkuu
Wewe ndio umedandia swali, sikukuuliza wewe sawa mkuu?inaonekana kabisa umedandia mada
Nzi kufa kwenye kidonda si aibu mkuuMkapime ARV zisije zikakuhusu..
unaongea na mimi au na simu ...huwezi uliza swali wakati jibu lipo kwenye mada mr mdandiajiWewe ndio umedandia swali, sikukuuliza wewe sawa mkuu?
Sina shaka kuwa uwezo wako wa kufikiri unalingana na wa mtoa mada.
nadhani huwa wanajuta, wakishaingia huko.Ni ushauri tuu, nawajua wadada wa hivyoo.
Umeambiwa kabla ya kujojoa mkapime si ajabu ana ukimwi!Simjaribu nampenda Kwel Ila tatzo simwelewi hyo kumtongoza Imetokea tu involuntary
Na mm naomba unikubalie basiVijana bwana, umekubaliwa unaanza mbwembwe ulikua unamjaribu au?
Jiheshimu.Na mm naomba unikubalie basi