Imeandikwa: Usimuache mwanamke mchawi aishi! Nimeapa kulipiza kwa gharama yoyote

Bray baba

Senior Member
Oct 17, 2019
137
541
Wakuu habari zenu!!

Mimi ni member mwenzenu wa mda mrefu ingawa ni msomaji Zaid,,, kwanza Niwaombe radhi kwa uhandishi mbovu ufuatao Pia huwa ninatatizo la kuchanganya R kwenye L,,,,( Mnivumilie)

Mwaka 2011/11 nilifanikiwa kumaliza Elimu ya chuo Cha afya mkoa Fulani,,baada ya kumaliza chuo nilirudi mtaani kwa bahati nzur/mbaya nilifanikiwa kupata kibarua(tempo) kwenye zahanati Fulani jijini Dar es salaam nikiwa Kama Tabibu.

Nashukuru Mungu kazi ilienda vizur pamoja na changamoto Za hapa na pale za kiofisi...baada ya mazoea na staff wezangu , Nikiwa ofisin alikuja Dada mmoja kutibiwa akiwa na tatizo la kuumwa na visigino, Mimi nilimpatia matibabu kulingana na tatizo lake,lakini MWISHO Aliniomba namba ili awe ananijulisha jinsi atakavyo endelea,Sikuwa na hiana na wala sikujua lengo lake Mimi nilimpatia.(KOSA Kubwa Sana nilifanya)

Baada ya kumalizana nae,usiku alinitumia sms na alijitambulisha na nikamkumbuka maana Mimi sikuchukua namba yake.(kwa sababu sikuvutiwa nae pia alikuwa mkubwa kiumri Zaid yangu)

Bas aliendelea kunitumia sms nam kumreply ,,Hali hiyo iliendelea baada ya mwezi mmoja Aliniomba nimsindikize sehemu Fulani, nilimuuliza ni wapi huko akasema tukifika nitapaona na alisisitiza tutaongozana pamoja na rafiki yake,Ok nilimkubalia huyu katili tumuite "F"

Siku ilipowadia nilipanda dala dala Hadi hospital ya CCBRT (sikumbuki kituo jina lake) nilishuka na kuwakuta wananisubili na rafiki yake,baada ya kuwasalimu walikodi bajaji tukaenda Koko beach,,baada ya kufika pale ndio aliniambia hapa ndio alikusudia kunileta.

Kisha huyu F" Alienda kwa beach boy mmoja alitoa pesa akakodi nguo Za kuogelea Kisha akaniambia tukaogelee,,sikwenda kwa lengo Hilo pia Sikuwa na nguo Za kuogelea sikumkubalia

Aliniomba saana nikamwambia Sina nguo pia za kuogelea akasema nenda kwa beach boy pale mwambie akupe nguo utakazo maana nimeacha chenj,,baada ya kunishawishi nilikubaliana nae

Baada ya kupata nguo Za kuogelea Kisha akaniambia tukaogelee niliingia kwenye maji na kuanza kuogelea nae.(KOSA Kubwa Sana nililifanya)
Baada ya kumaliza kuogelea nae tulitoka na kutawanyika kila mmoja kuelekea kwake.

Baada ya wiki mbili mbele nilijikuta nimeshazini nae na tukaingia nae kwenye mahusiano,ingawa nilifanya Siri maana pale ofisin Kuna staff mdada alikuwa Wana umazoea nae sikutaka mtu ajue maana Dada huyu F alikuwa mkubwa kiumri Zaid kwangu.

Baada ya siku kwenda kama nilivyo simulia hapo mwanzo kwamba yule F" alikuwa na rafiki yake ambaye ni staff mwenzangu pale ofisin ,ingawa nilifanya Siri lakin yule staff (nimuite R")alinifuata na kunielezea amjuavyo F"kwamba hiv Bray baba unajua history ya huyu F"?

Nilimjibu simjui kiundan Zaid,akaanza kufunguka kwamba huyu F"ni mwenyej wa Songea (mngo ni) pia alikuwa ameolewa na ana watoto wawili ,,1)wa kike mwenye umr wa miaka 12 (2012 kwa kipind kile) na wa pili ana miaka 7.

Baada ya kuolewa alipewa tala ka na aliyekuwa mume wake.Sababu yeye F"anasema mama mkwe na mawif hawakumpenda ila baada ya talaka miez 3 mbele mzazi mwenza alipata ajali ya boda boda ya maajabu Iliyompelekea akatwe mguu na kuwa mlemavu.

Baada ya ajali inasemekana ndugu wa mume walimtuhumu huyu F ndio aliyeitengeneza hiyo ajal ,hivo ndugu wa mume walitaka kumzuru hivo wasamalia wema walimtorosha Ndipo alipokuja dar kuanza maisha upya........

Baada ya kuja Dar kabla ya Mimi kujuana nae alikuwa yupo kwenye mahusiano na Mwanaume mwingine ambaye ni mume wa mtu(wakaachana ndio aliponipata Mimi).

Baada ya mm kuanza mahusiano nae, Kuna siku nilimtembelea alipopanga nikimkuta anapoishi yupo peke yake (mpangaji)akiwa anaishi ndan ya yadi(gereji)yeye tuu na mlinz ,,kwa kipind kile sikuweza kung'a mua chochote , maisha yaliendelea Kama kawaida..

Baada ya miez minne nilipata nafas ya kaz (selected) kwenda kuripoti mkoa mmoja karibu na daslaam,, ilinibidi niende kuaga pale ofisin (tempo) na yeye nikamtaarifu k uhusu mimi kwenda mkoa jiran, Baada ya kumwambia hivo akaniambia itabid aache kaz twende wote tukaishi pamoja,,, Nilikataa kata kata kwa kuwa had naingia nae kwa mahusiano Ilitokea tuu hivo hakuwa chaguo langu.(Kosa )

Tukaanza malumbano akasema kwa kuwa yeye hajasoma ndio maana naona aibu kuanza nae maisha ila atanionyesha yeye ni nan.

Baada ya kuwa serious na mabishano ilibidi ajishushe na kuwa mpole Ila k wa shart moja la niende nikamsex kabla sijaondok a,, kutokana na stress za safar Sikuwa na mood hivo nilimkatalia ,,hakuwa teyar kwa Hilo, akaniambia tukaogelee k wake maana kumbuka nilienda ofcn kuaga, nilikubaliana nae,tulienda kwake aliniforc to sex Nilikataa kata kata,Kisha akaniambia nimuachie fulana yangu niliyokuwa nimeivaa ili akinimiss atakuwa anaivaa , nam bila hiana nilimpatia hiyo nguo Kisha akanipa shart jingine nikavaa Kisha Nikaondoka kwenda jia ndaa na safar(Kosa kuu).
 
Wachawi na waganga ilitakiwa wauliwe wote wao ndio chanzo cha maovu kwenye Jamii Ulaya walifanya hivyo wakapata kizazi kipya kinachofikiri kwa kutegemea akili walizopewa na Mwenyezi Mungu. Waganga ndio uwapa nguvu wezi majambazi wote ya kutenda uhalifu, wachawi awataki watu wawe na maendeleo. Waganga na washirikina wameharibu akili za watu kwa kuwapotosha eti huwezi fanikiwa bila dawa.
 
Umeyataka mwenyewe! Ya nini sasa kuingia kwenye kesi ya mauaji? Utaishia jela ndugu. Jela siyo sehemu salama hata kidogo! Jela siyo hotelini. Kule ni jehanamu ndogo.

Bora uingie huko kwa bahati mbaya. Ila siyo kwa kudhamiria kama hivi unavyotaka kutuaminisha.
 
Kweri aiseee.... Una tatiso ra kutojuwa wapi utumie r na wapi l.nrisoma udhi wako mwingine nikawasa uyu jamaa atakuwa ameishia dalasa ra ngapi....anywei tuwendelee tu tutajuwa mbere kwa mbere.
Wakuu habari zenu!!Mimi ni member mwenzenu wa mda mrefu ingawa ni msomaji Zaid,,, kwanza Niwaombe radhi kwa uhandishi mbovu ufuatao Pia huwa ninatatizo la kuchanganya R kwenye L,,,,( Mnivumilie)

Mwaka 2011/11 nilifanikiwa kumaliza Elimu ya chuo Cha afya mkoa Fulani,,baada ya kumaliza chuo nilirudi mtaani kwa bahati nzur/mbaya nilifanikiwa kupata kibarua(tempo) kwenye zahanati Fulani jijini Dar es salaam nikiwa Kama Tabibu.

Nashukuru Mungu kazi ilienda vizur pamoja na changamoto Za hapa na pale za kiofisi...baada ya mazoea na staff wezangu , Nikiwa ofisin alikuja Dada mmoja kutibiwa akiwa na tatizo la kuumwa na visigino, Mimi nilimpatia matibabu kulingana na tatizo lake,lakini MWISHO Aliniomba namba ili awe ananijulisha jinsi atakavyo endelea,Sikuwa na hiana na wala sikujua lengo lake Mimi nilimpatia.(KOSA Kubwa Sana nilifanya)

Baada ya kumalizana nae,usiku alinitumia sms na alijitambulisha na nikamkumbuka maana Mimi sikuchukua namba yake.(kwa sababu sikuvutiwa nae pia alikuwa mkubwa kiumri Zaid yangu)

Bas aliendelea kunitumia sms nam kumreply ,,Hali hiyo iliendelea baada ya mwezi mmoja Aliniomba nimsindikize sehemu Fulani, nilimuuliza ni wapi huko akasema tukifika nitapaona na alisisitiza tutaongozana pamoja na rafiki yake,Ok nilimkubalia huyu katili tumuite "F"

Siku ilipowadia nilipanda dala dala Hadi hospital ya CCBRT (sikumbuki kituo jina lake) nilishuka na kuwakuta wananisubili na rafiki yake,baada ya kuwasalimu walikodi bajaji tukaenda Koko beach,,baada ya kufika pale ndio aliniambia hapa ndio alikusudia kunileta.

Kisha huyu F" Alienda kwa beach boy mmoja alitoa pesa akakodi nguo Za kuogelea Kisha akaniambia tukaogelee,,sikwenda kwa lengo Hilo pia Sikuwa na nguo Za kuogelea sikumkubalia

Aliniomba saana nikamwambia Sina nguo pia za kuogelea akasema nenda kwa beach boy pale mwambie akupe nguo utakazo maana nimeacha chenj,,baada ya kunishawishi nilikubaliana nae

Baada ya kupata nguo Za kuogelea Kisha akaniambia tukaogelee niliingia kwenye maji na kuanza kuogelea nae.(KOSA Kubwa Sana nililifanya)
Baada ya kumaliza kuogelea nae tulitoka na kutawanyika kila mmoja kuelekea kwake.

Baada ya wiki mbili mbele nilijikuta nimeshazini nae na tukaingia nae kwenye mahusiano,ingawa nilifanya Siri maana pale ofisin Kuna staff mdada alikuwa Wana umazoea nae sikutaka mtu ajue maana Dada huyu F alikuwa mkubwa kiumri Zaid kwangu..

Inaendelea (naitaipu episode 2 &3 usiku huu story itaisha my)
 
Nafikiri mods wangeweka jukwaa specific la story za "itaendelea". Kwa maana wanapitia almost nyuzi zote, so zikiekwa huko waweke na automatic updates. Ikiendelea tu, watu wanajulishwa.
Tena waanze na yule wa lindi na wengine wote wenye tabia ya "itaendelea"
 
Mkuu,,njoo pm nikufundishe namna ya kuua bila hata kuacha alama na ndio maana nimefunga code Zote Nina maana Kubwa Sana Wala sijakurupuka.
Huna lolote, saa hii ungekuwa somewhere unashangilia ushindi, ukiona mtu mtu anakuja kujilizaliza hapa jf ujue anatafuta kujiliwaza
 
Umenikumbusha mke wangu wa kisabato, alijifanya kuniroga, nikampiga taraka za kisabato. Saizi yuko zake Geita analima magimbi....nyambafu kabisa.
MUWE MNAZINGATIA MAANDIKO MATAKATIFU BASI .

2 WAKORINTHO 11:14-15.

"Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru.
Basi si neno kubwa watumishi wake nao wakijigeuza wawe mfano wa watumishi wa haki, ambao mwisho wao utakuwa sawasawa na kazi zao."
 
Back
Top Bottom