Nawachukia sana watu wanaoingia ofisini kwa migongo ya ndugu zao badala ya vigezo. Umekosa aibu hata unajisema mbele za watu. Kwa hiyo kwa kuwa kaka yako ni meneje pale ulitaka sekretari akupokee na mabusu?!
Shame on you.....CCM mkubwa we!
Ukimfukuza Kazi umuweke Dada ako au?
We mwache ashoboke aje akute kakaake anatafuna mzigo, aone kati ya m_unye na hako kaudugu kao nini kitamu kwa kwakaake.
hana uwezo wa kuweka heshima huyu dogo we huoni kama naasound kama kajike fulani hiviUnataka aweke heshima sio!
Wakuu habarini humu
Kama wik mbil zimepita kuna ofisi moja Maaruf sana hapa Mji wa Mawe aka Roku siti,Kuna Brother wangu ambae Hapo ni Meneja...Sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila Secretary hakunipokea Vizuri na hata aliponiuliza kama nafuatilia Kazi Sikumjibu ukweli nikamwambia ni Mambo Binafsi.
Sasa nashukuru Nimepata hyo Nafasi na Bahat nzuri namimi nimepewa Cheo,ambapo huy Dada anakuwa chini yangu
Hiv najiuliza sijui nimfukuzishe kazi...Maana alinipokea kwa Nyodo sana.
Mwaonaje Wakuu...??
mtongoze.. acha roho mbaya wewe umewekwa bado unataka kuleta shida .
Mkuu msamehe tu maana utakuwa ujamsaidia kumsaidia awe na adabu kwa kila mtu na kujifunza ni kumwacha akikuona na kufanya kazi unazomtuma akuheshimuWakuu habarini humu