Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,254
Sure.ila kwa upande wangu binti akileta attitude za namna hii inamaanisha hanifai.
Kumekucha kumekuchaa.Pwagu Hupata Pwaguzi
yes sitabishana naye nitamuambia arudi kwao akasubiri mwenye pesa ya kumfanyia harusi ya kifahari.Sio attitude
Wanawake wote harusi ni kitu sensitive..
Hutakiwi kubishana nao ..
Hata dada yako anaweza kugoma akiona harusi ya shamba shamba
Cha Kufia Nini?Wanawake wapo wengi, amuache tu.
yes sitabishana naye nitamuambia arudi kwao akasubiri mwenye pesa ya kumfanyia harusi ya kifahari.
Hahahahahaaaaa, si ndio hapo.
mleta mada kasema kabisa dada amekataa kwasababu "ukumbi hauna hadhi yake"Una uhakika gani alitaka ya kifahari?
Pengine ni different choices Kwa gharama Ile ile
Alikuwa wapi siku zote?Binti analaumiwa bure
Ina maana Hadi mnachagua ukumbi hamkumwambia?..
Keki siku hizi si zinaletwa picha mnachagua?
Hakutumiwa picha watsaap?
Harusi ni tukio sensitive Kwa baadhi ya watu..
Ushamba uko Kwa hao kamati
Lakini alikuwa wapi muda wote?Huyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya
anahaki saw ila yeye kama yeye anaetaka ukumbi wa mamilion amechangia sh ngapi upande wa keki ameiona ya kishamba angeleta yake ya kishua ili mambo yaende sasa unagoma lkn jeur ya pesa huna ndio nini mana yakeHuyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya
Nimevaa viatu vya bwana harusi ila ni vizito sana
Na hapo aliaambiwa kula tunda mpaka ndoa
Mda wote hawakumsikiliza Sasa afanyeje, ujue sherehe ni Bibi harusi apendeze nyingine huwa mbwembwe tu.Lakini alikuwa wapi muda wote?
Nakuhakikishia ukumbu na keki nzuri zitapatikaba lakini tayari ameiharibu sherehe yake, watu wameneona anaringa watahudhuria lakini shamrashamra hazitafana