Huyu dada leo kanichana ukweli

Hiyo Ramz Lattafa unyama na nusu [emoji3]
 
Daah..mimi mademu huwa wanapenda kunisogelea kinoma..it seems sinaga harufu mbaya..Fresh like out the shower..

Wanaume tuinvest muda na fedha.tuwe wasafi na tunukie vizuri...harufu mbaya zinakera kinoma

Sio vibaya kujisifia.
 
Chukua 25th edition ya forever living.

Hiyo hata kama ni domo zege utakula mbususu mpaka ukimbie na kaa mbali na wake za watu maana utawagonga sana ni kama ina kauchawi flani ambako hupumbaza medula za wadada
Hivi issue za forever living vado wapo? Maana mtaani huu mwaka wa 2 sijawah kutana na mpiga domo wa forever living tofaut na hapo nyuma
 
ungemuimbia nyimbo ya diamond (yatapita) angekubali hapohapo..!
 
Tafuta perfume inaitwa AMBITION inauzwa 35hadi 45 mm huwa wananiuza sahani kaka unatumia perfume gani ni nzur hatar
 
Shukuru hajakuambia direct unanuka... Shukuru sana mkuu..yani kajali sana afya yako ya akili... Sasa ungekutana na hawa slay queen ndio ungejua rangi halisi ya macho ya mwanamke yale tunayo yaonaga mazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…