Hii ya kula hadi wake za watu, hapana.Chukua 25th edition ya forever living.
Hiyo hata kama ni domo zege utakula mbususu mpaka ukimbie na kaa mbali na wake za watu maana utawagonga sana ni kama ina kauchawi flani ambako hupumbaza medula za wadada
Aventos ni Bei che hata 25k unapata ila big brand kama creed zile pure ni pesa ndefu labda za kupimaKariakoo zakupima si napata.
Unakaa na mbali tu maana nilichogundua inapendwa sana na jinsia ke.Hii ya kula hadi wake za watu, hapana.
Pole sana Mkuu kwa fedhehaSaint Anne njoo uweke comment hapa.
Niza kupimaPole sana Mkuu kwa fedheha
Njoo nikuuzie perfume kwa 25k tu.
Zipo nyingine 15k oil perfumes.
Anza na Black Opium,
Chukua Creed Aventus
Chukua Mousuf.
Chukua Sauvage
Chukua Invictus.
Hizo ni Basic ati ambazo mwanaume hutakiwi kukosa .
Nimezipanga kwa preference yangu.
Ukiwa nayo moja katika hizo hakuna mtu atakuchomolea.
Na sometimes huwezi kujigundua kama yanatema mkuu, kuwa mpole na ujichunguze vizuriNisuki kwapa banaa[emoji45][emoji45]
DSMLocation yako ni wapi sasa.
YeahDsm sehemu gn ? Au wew ndio unanitumia.
Ok sawa mkuuHamna bana ningekuwa nanuka kwamba ningeshaambia na wauni wangu kitambo.
Sema huyo dada hakunusa harufu yoyote kwangu.