FNL alikiweza Sebbo nadhani ni kwa sbb ilikuwa idea yake, Kina Sam misago wana mbwembwe ambazo hazina mukali sana afu Ubother man too much!
Dj Senorita ukimlingabisha na DJ Mafuvu hajachangamka sana.
Mafuvu anlikuwa ana ad-lip fulan amazing za kuhamasisha kama DJ Clue au Funk master flex.
Mixing pia Senorita anaonekana si mkali ingawa anajitahidi kwa level zake.
Pia scratching kama anascratch kiuoga vile anasugua lkn several time anapishana na beat yaani hana good timing.
Overall perfomance ni average nategemea kwa trend anayokwenda nayo ataimprove na atakuwa moja wa maDj wakali East africa na africa pia.
Pia aongeze exprience ya VJ/ Radio Deejaying maana anaonekana ni.mzuri zaidi kwenye club Deejaying maana inaonekana hawawasiliani vzr sana na Host yaani Misago.
Nadhani tupo wote
masai dada asante kwa uzi pia!