Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Anavutia!
Kama wewe bado ni mtoto utafaidikaje??Duu!! Wakubwa wanafaidi.
Tena dagaa anarudi kinyumenyume,hajui anapendezeshwa huyooMke wa mtu huyo utakojoa dagaa
Mmmmmh izt true mkuu???
Ni kweli ana mdogo wake uyo ni nyokoNilisikia hivo na kwa muonekano wake wa sura pua na umbile nimethibitisha hivyo.... anaelekea na wa Kagame. Sina hakika zaidi
Ngoja uje utiwe dudu nyuma ndo utaelewa vijan mnawaka tamaa mpaka kwa wake za watu mkioteshwa mabusha mnakaa kulia liaKwani mtu akiolewa anakuwa zombi kias kwamba hatuwez kuuona uzuriwake?, Yan hapa aolewe asiolewe m napenda Tu full stop![]()
Huyo mdogo wake mie simfahamu, kama hajaolewa anaweza kukidhi kiu ya mleta mada.Ni kweli ana mdogo wake uyo ni nyoko
ukitatuliwa linda zako ndo utajua kama maharage cio mboga.... Mme wake ni mtu mkubwa tu apa nchini tena secta nyeti kulko nyeti zetu hiziHainaga ushemeji tuna manfongo
Kuna mmoja yupo South Africa anaitwa Zahara.mpaka hua namuota