wazee wa Sept 1stYuko sector gan mkuu?
huyo sio dada, ni mama na ni mke wa mtu mwenye watoto kadhaa. halafu ni mtumishi wa Mungu, utaumia moyo hadi uchoke,
haloo wewe.... unaupenda uhai wako?
Beatrice Muhone muimbaji injili wa Arusha hukoNi nan hyo mkuu
Wa Kigoma Kibondo huyooShe is cute.....
A lady from Kagame land....
Wa Kigoma Kibondo huyoo
Usitamani mwanamke asiye mke wako. Full stop.Kwani mtu akiolewa anakuwa zombi kias kwamba hatuwez kuuona uzuriwake?, Yan hapa aolewe asiolewe m napenda Tu full stop![]()
wanaweza kuja kufanya mazoez ya kutega mabomu nyumbani kwakoHahahahahahahh inaweza isiwe hatar kwang
"Mke wa mtu usimvalie suti" Remmy ongara R.I.PHahahhahah huwez jua huenda m ndo nasign Ili wachkue hayo mabom..!!