...ungeongezea pia a moment Kikwete allowed the US military to have a base in Kigamboni.Niliwahi kusema humu kuwa SYMBION Power imekuja kuchukua kazi za TANESCO, wengi hawakunielewa! In short ni kuwa PAP/IPTL ni competitor wao! Wanachokifanya sasa hivi ni ku-capitalise kwenye weakness ya hao PAP!!! Hapa si tetei Wizi uliofanyika lahasha! Ila najua kuwa wamechukia sana kuona EHM wao waliokuwa wanawategemea wamegeuka na kuanza kuwapigia chapuo PAP!!! Kwenye Issues za Kiintellijensia naweza kusema tumekosea sana kama nchi! A moment waliporuhuru Kombe kuuawa, a moment Apson na Mboma waliporuhusu CIA kutuingilia hadi Uvunguni...Tulibaki uchi....
...ungeongezea pia a moment Kikwete allowed the US military to have a base in Kigamboni.
At least Mkapa tumpe credit ya kukataa ndoa na jeshi la Marekani. Ukisoma yale maelezo ya wikileaks, ni Kikwete baada ya Mkapa kuondoka mamlakani na Jemadari Watarra kustaafu, pamoja na Kapuya, ndio walioridhia uhusiano huu usioeleweka baina yetu na jeshi la Marekani. Kikwete ni kama prostitute mbele ya mataifa haya ya magharibi.Mkuu umenikumbusha Jambo moja zito zana, Nyerere aliwahi kuonya juu ya kuwa karibu na hizi Dola Nyang'anyi; alitoa mfano wa Mbwa kwenye Valence ya Chatu atajikuta amekwisha ingia mwenyewe mdomoni!!! Najiuliza kisa cha Rais Wetu Mkapa na JK kuwa karibu na USA kiasi hicho kilitoka wapi? inamaana hawajui kuwa USA huwa wanamarafiki wenye maslahi na nchi yao? Intelligensia haikufanyakazi yake itakiwavyo? Dhahabu, Almasi, Tanzanite, Gas, Uranium wanamiliki Wamarekani ndani ya nchi yetu! wamenda mbali Zaidi sasa wanamiliki vitalu vya uwindaji na hata mbuga za Wanyama... Soon or later tutapoteza control ya nchi yetu moja kwa moja ...unless CCM ing'olewe madarakani ...
At least Mkapa tumpe credit ya kukataa ndoa na jeshi la Marekani. Ukisoma yale maelezo ya wikileaks, ni Kikwete baada ya Mkapa kuondoka mamlakani na Jemadari Watarra kustaafu, pamoja na Kapuya, ndio walioridhia uhusiano huu usioeleweka baina yetu na jeshi la Marekani. Kikwete ni kama prostitute mbele ya mataifa haya ya magharibi.
Kwenye sekta ya kidplomasia hayo mambo yapo ni ruksa tuu, itakuwa sio kuwa ndani hawamfahamu, la hasha watakuwa wana mfaham vyema tu, na wakati mwingine wanamlisha PUMBA au PUNJE ya Mtama sio kilo ya Mtama ili awe anasoge na kwa kusogea kwake nao wigo wao kuhusu MICHAKATO yake na UZIO wake ulivyopanuka unawaingia kichwani na usaidia kujua VIFARANGA wake wako WAPI na nini azima ya hicho anachotafuta kwenye kiota cha kutagia.Vinginevyo kutaja ni kufungua kiota kilipofichwa na kenge wakiyaona mayai Watanzania HAWATAKULA CHIPS MAYAI.
Jamani Watanzania nyie sekta hiyo wako juu, zaliwa kwenye kijiji cha kazi, au bustani yoyote ya uzalishaji, utajua kuna impossible/possibles, msiwaone na hizi ESCROW zao nachoumia hazipangi vizuri tu na kuendesha heshima kwenye jamii kiasi zikaonekana hazina madhara kwa jamii.
Manake wakati mwingine mseto maalum, uchangia kupata radha ya dunia, kutokea Afrika point ya Watz, pale akakaa mtu wa Kremlin, Kilometer moja ukamkuta wa korido za Pentagon na CIA, hatua nne ukamkuta Mparestine, Ukaenda Mile moja ukamkuta M16, Ukisogea Mitaa kadhaa Unakutana na Francee, basi kila mmoja kwa namna yake ruksa ila cheza kwa steps usimkanyage mwenzieo aaahaa huu ni wimbo na ndio maana walio wengi useme ITS only happen in Tanzania WHY NOT !!!!
Ila huyo mnaefikilia ndio centre yao kutokea Bongo, Mungu wangu nikivaa viatu vyake uwa namuulumia manake wakati nyie tunakoloma kwenye VITANDA vyenu na wake zenu yeye. Yeye anakesha akiwazua kufikisha ujumbe alioagizwa na mazingira ya mpango kwa wanaoangali baadhi ya movie wanayajua full mitikisiko lakini huku watu maweeee mamilioni wanatamani wawee kama yeye, yeye anatamani ALUDI utoto...Jicho full nyanya...usingizi wa mawenge...Usitamani Mali ya Mwenzio ujui undani wakee...ila BONGO kuna vichwa jamani acheni utani.
Kama ujui Bongo kuna vichwa tizama upeo wa Tindu Lissu anavyoweza kucheza na sheria.....katika sura ya uwazi tuu...sasa vichwa vilivyojifungia kwenye rooms kuwaza jinsi unavyowaza wewe na mimi vyenyewe vikoje..CRITICAL THINKERS and GREAT MINDS baadhi walioko humu JF.
Kwa kuwa Invisible kaja na thread yake ya mafumbo na vishindo na sisi wengine tunajibu kwa mafumbo
Kuna CIA tena raia wa USA kaikamata kisawa sawa serikali ya Tanzania na amekuwa bize kuongea na akina Paul Hicks ili waongee na serikali ya Obama kuhusu MCC
Clue: Ni mwanamke, anaingia ikulu kama chooni, na ni black American
kwa mnaocheza monopoly na yule jamaa yetu aliye graduate chuo ya national security naamini akiamka anaweza kuja kum out kwa jina na miradi feki ambayo huyu mama amekuwa aki front na list ya maofisa wa ngazi ya juu pamoja na mawaziri ambao wako kwenye payroll yake
![]()
clue number 2. Huyu si kati ya wale CIA ambao TISS inawafahamu ambao wako ubalozini, huyu amekuwa kama vile independent contractor japo waajiri wake wako hapo juu
connection ya Paul Hicks mtaipata humu na hizo pesa za MCC ambazo inabidi zirudi USA zaiidi bonyeza hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152989-symbion-power-intelligence-watupu.html

Sioni kitu kipya kwa sredi hii...
ukisikia preditors ndio hao. tutakamuliwa na tanesco kubambikiwa madeni hadi kufilisiwa au kupigwa tanchi. tiss kama wanaweza kucheza na hizo njemba sijui! tatizo kila mtu tz ana bei hakuna tena uzalendo.Kwa kuwa Invisible kaja na thread yake ya mafumbo na vishindo na sisi wengine tunajibu kwa mafumbo
Kuna CIA tena raia wa USA kaikamata kisawa sawa serikali ya Tanzania na amekuwa bize kuongea na akina Paul Hicks ili waongee na serikali ya Obama kuhusu MCC
Clue: Ni mwanamke, anaingia ikulu kama chooni, na ni black American
kwa mnaocheza monopoly na yule jamaa yetu aliye graduate chuo ya national security naamini akiamka anaweza kuja kum out kwa jina na miradi feki ambayo huyu mama amekuwa aki front na list ya maofisa wa ngazi ya juu pamoja na mawaziri ambao wako kwenye payroll yake
![]()
clue number 2. Huyu si kati ya wale CIA ambao TISS inawafahamu ambao wako ubalozini, huyu amekuwa kama vile independent contractor japo waajiri wake wako hapo juu
connection ya Paul Hicks mtaipata humu na hizo pesa za MCC ambazo inabidi zirudi USA zaiidi bonyeza hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152989-symbion-power-intelligence-watupu.html
kikosi cha kisasi....Usiku wa balaa........
Hapa ndio ninapo choka,sasa ndio nini kutuletea mjithredi wenye mafumbo?
Kama mnataka kupima magreat thinker basi anzisheni forum yenu ambayo mtakuwa unaweka mafumbo mpaka muwe magenius
Niache kuwaza namna ya kupata Hela nianze kufukiria unacho maanisha. Sihitaji kung'amua uliye mficha kwenye Hii thread ili Ujue kuwa mimi ni great thinker,acha upimbi.
Kuna maana gani kuleta thread ambayo wachache ndio wana elewa unacho ongea? Ili iweje sasa? JF is where we dare to speak open then Haya mafumbo yameanza lini? Halafu huyu mod invisible sijui naye ana support.
Kama hamtaki kutaja majina basi kaeeni kimya sio lazima kuanzisha thread otherwise wekeni mambo hadharani ili watu tujue nyeupe na nyeusi,sio kutuletea mbwembwe hapa za kujifanya mnajua intelejensia.
Not all great thinkers are informed about these matters,the fact that you have a means to get hold of such information doesn't make you a great thinker neither does it make me stupid. Hii ni sehemu ya kupata information kwahiyo tusiigeuze kuwa sehemu ya kupimana nani anajua zaidi kuhusu hizi habari. Ovyooooo kabisa