Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

Vitoto vingine bana,eti source,hili game kama limepita uwezo wako wa fikiri ni bora kuwa msomaj¨¬ kuliko kuishia kuonyesha ujinga jukwaani,kuna vitu vipo ili 0.01% ya wanadamu wavielewe na wengne washangae,na ndvyo vnavyoendesha ulimwengu

A thread full of distraction, few of us are interested.
 
Tuko pamoja mkuu, na zaidi sijajua hasa lengo la mwandishi.

Ok, let me pass, mine is an ordinary mind.

imekuwa kama ngumu kumezaa!! mind zetu ziko too selektive, masuala mengine ukijadili ni sawa na kubusu upepo
 
Eti watakata misaada ya MCC

Acha wakate.
 
..ndo mjue gharama za kuwalamba miguu wageni kila kukicha....sasa wanawageuka msilaumu mtu...Hata hao majamaa wa symbion power wengi wao wanafanya kazi kama double agents wa USA....jukumu lao kubwa likiwa kufatilia kusambaa kwa upepo wa kigaidi ktk pwani ya Africa mashariki...Sisi wabongo watawala wetu wanawakumbatia kwa gharama ya kugawa raslimali zetu kwao......Ngoja wafanye kazi zao..maana tumewakaribisha wenyewe ..hadi tumeipa mitaa ya ikulu yetu majina yao.....Hatuna wakulaumu..........ni ujinga wa watawala wetu kukosa ujasiri wa kujitegemea........

Kipindi kile BO amekuja nikatoa uzi wa kwanini iwe ikulu, uzi ule ulichukua sekunde 2 tu ukanyofolewa.

Kunasarakasi na mazingaombwe mengi sana aisee.
 
sasa hv nikisoma thread naweka 4wd kichwani ili kuelewa.Tanzania ipo intarget.tumeshaingia kwenye 18 za mabepari.

.....thanks to the 10-year reign of our beloved Vasco da Gama!
 
Kwa anayeifahamu Tanzania,Marekani na dunia hakuna la ajabu hapa.This is how the world has been operating any way,ni kwamba tu sasa mambo yamekuwa wazi zaidi.Ukisimuliwa mambo yanayoendelea chini kwa chini out of the knowledge of most people including you utachoka.
Kwa kuwa Invisible kaja na thread yake ya mafumbo na vishindo na sisi wengine tunajibu kwa mafumbo

Kwa mtu yoyote aliyesoma huki kitabu atajua ninachoongea hapa ni nini...

confessions-of-an-economic-hitman.jpg

Kuna CIA tena raia wa USA kaikamata kisawa sawa serikali ya Tanzania na amekuwa bize kuongea na akina Paul Hicks ili waongee na serikali ya Obama kuhusu MCC

Clue: Ni mwanamke, anaingia ikulu kama chooni na yuko very much linked na hizi pesa za MCC na akina SYMBION ambao washapewa dili la kuinunua TANESCO, watapewa projects zote za power generation, na kwa kuonyesha jinsi gani akina Paul Hicks walivyoweza kuwapiku akina GE. Basically washa sema wazi kuwa mpaka sub contracts zote zitarudi kwa kampuni ambazo ziko affiliated na wao. Tazama hili jedwali hapo chini utaelewa:

ufp1quyragy8c4utlql3rgano1_500.jpg

kwa mnaocheza monopoly na yule jamaa yetu aliye graduate chuo ya national security naamini akiamka anaweza kuja kum out kwa jina na miradi feki ambayo huyu mama amekuwa aki front na list ya maofisa wa ngazi ya juu pamoja na mawaziri ambao wako kwenye payroll yake

pict45.jpg

Makao makuu ya CIA, Langley Virginia

clue number 2. Huyu si kati ya wale CIA ambao serikali kisheria lazima iwafahamu ambao wako ubalozini na balozi zote dunianiamekuwa kama vile semi independent contractor japo waajiri wake wako hapo juu ambao in essence ni serikali ya USA.

connection ya Paul Hicks mtaipata humu na hizo pesa za MCC ambazo inabidi zirudi USA zaiidi bonyeza hapa:

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152989-symbion-power-intelligence-watupu.html

Hivyo mnaposoma kuwa USA wamekata misaada na blah blah zingine jueni kuwa hawa hawa USA walishawahi kumfukuza mwakilishi wa WORLD BANK Tanzania lakini hii itabidi niifungulie thread nyingine kwani inahusika directly na ESCROW
 
Kinachoniudhi ni kuwa hawa jamaa wanatuwekea masharti kibao kwenye hizo pesa za MCC halafu at the same time wanatutoza na interest hivyo sio pesa za msaada bali ni mkopo kisha wanatuvua nguo

Nalaumu sana serikali yetu kutokuwa makini na hizi pesa za masharti mengi wakati zipo sehem tungepata hizo pesa bila mashari mengi/magumu kama tungekuwa makini

Hii obsession na USA sijui imetoka wapi.
 
niko impressed na espionage stories zilizopo kwenye uzi huu.

however, am not impressed by the English grammar iliyotumika, which downgrades the whole thing into some fictitious garbage. you guys need to up and master the art of your English first.
 
Mbona anajulikana sana na kwa taarifa yako anaongea kiswahili vizuri kuliko waswahili wenyewe!!

I quote "Sir, I have a clear shot...your approval..."
Sniper looking for approval to hit a target...
 
Mkuu umenikumbusha Jambo moja zito zana, Nyerere aliwahi kuonya juu ya kuwa karibu na hizi Dola Nyang'anyi; alitoa mfano wa Mbwa kwenye Valence ya Chatu atajikuta amekwisha ingia mwenyewe mdomoni!!! Najiuliza kisa cha Rais Wetu Mkapa na JK kuwa karibu na USA kiasi hicho kilitoka wapi? inamaana hawajui kuwa USA huwa wanamarafiki wenye maslahi na nchi yao? Intelligensia haikufanyakazi yake itakiwavyo? Dhahabu, Almasi, Tanzanite, Gas, Uranium wanamiliki Wamarekani ndani ya nchi yetu! wamenda mbali Zaidi sasa wanamiliki vitalu vya uwindaji na hata mbuga za Wanyama... Soon or later tutapoteza control ya nchi yetu moja kwa moja ...unless CCM ing'olewe madarakani ...

Naomba nichangie kidogo hapa.

Uzembe huu wa kuruhusu manchi majizi kuwa na semi kwenye nchi zetu tuyaweke kama madhaifu binafsi ya viongozi wetu na akili zao fupi, katu si sera za chama chao.

Vyama vya kiliberali ndivyo vinanipa wasisiwasi linapokuja suala la kuuza nchi kwa wageni, wana urafiki na vyama hivi kama Labour, Republican na CDU. Tazama mwitikio wa Chadema wakati Obama alipokuja kuzindua mitambo ya Symbion kwenye ziara ambayo wananchi walivunjiwa ofisi zao ili kusafiisha barabara.

Chama tawala kina uswahiba wa kiutendaji na Chama cha Kikomunisti cha China, nawaogopa zaidi hawa...
 
"Kukaa kimya ni udhaifu wa nafsi!" ... Mkuu unafahamu kuwa CCM imekuwa chama rafiki na Democratic na baadae Republican ?... Unafahamu kuwa Uswahiba na Cuba, Russia na China ulipotezewa na CCM katika kipindi cha MKapa? Unafahamu kuwa CCM na Viongozi wao ni USA puppet? Muulize Kagame n M7 wakupe details...

Language tu mkuu, tunaangalia ujumbe Zaidi! Haya mambo ya kuona haya kwenye lugha ya Wazungu ni Udhaifu wa kiutumwa... Chinese, Japanese, spaniel n wafaransa huwa hawaanagalii sana eglish grammar wakati wanawasilisha ujumbe ... Tuache kuutukuza utumwa..

niko impressed na espionage stories zilizopo kwenye uzi huu.

however, am not impressed by the English grammar iliyotumika, which downgrades the whole thing into some fictitious garbage. you guys need to up and master the art of your English first.
 
"Kukaa kimya ni udhaifu wa nafsi!" ... Mkuu unafahamu kuwa CCM imekuwa chama rafiki na Democratic na baadae Republican ?... Unafahamu kuwa Uswahiba na Cuba, Russia na China ulipotezewa na CCM katika kipindi cha MKapa? Unafahamu kuwa CCM na Viongozi wao ni USA puppet? Muulize Kagame n M7 wakupe details...

Mkapa na Kikwete?

Je, viongozi wengine ndani ya CCM wana hiyari ya kutofungamana na falsafa hizi za kuwa vibaraka wa serikali za MArekani na washirika?
 
CCM siku zote huongozwa na fikra sahihi ingawa dhaifu za Mwenyekiti wao...

Mkapa na Kikwete?

Je, viongozi wengine ndani ya CCM wana hiyari ya kutofungamana na falsafa hizi za kuwa vibaraka wa serikali za MArekani na washirika?
 
Back
Top Bottom