Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

Mkuu leadership ni muhimu sana lakini Taasisi makini huongozwa na miongozo plus miiko zilizo sanifiwa vema thru ITIKADI yao waliojiwekea! Kiongozi hawezikuwa juu ya Itikadi ya Chama wala Juu ya Kanuni na miiko ya Chama chake! only CCM tu ndo wameweza kuachana siasa ya Ujamaa na Kujitegemea kimya kimya na kuwa Chama cha Makuwadi kwenye Uchumi Holela!!!

Siku zote, lakini vyama vingi huongozwa na fikra za viongozi wao wa juu mkuu.
 
Kinachotakiwa hapa ni ccm kuondolewa tu hakuna njia tena ya kuwa acha wameshindwa kulinda rasilimali za nchi adi hatujuwi wala hatuna ndoto nilini tutaondokana na utumwa huu wa kuomba kila siku
 
Kinachotakiwa hapa ni ccm kuondolewa tu hakuna njia tena ya kuwa acha wameshindwa kulinda rasilimali za nchi adi hatujuwi wala hatuna ndoto nilini tutaondokana na utumwa huu wa kuomba kila siku

Unadhani kwa akili ya kawaida tu ni rahisi kuiondoa CCM? sawa itaondoka hao mnaowapenda waje kutawala wakienda nje ya matakwa ya hawa mabeberu unahisi nchi itatawalika kwa amani, rejea libya, Tunisia kote kuliko na machafuko ya umma, Hawa wazee wa Langley ndiyo mipango na uwezeshaji mzima.
 
Kwa kuwa Invisible kaja na thread yake ya mafumbo na vishindo na sisi wengine tunajibu kwa mafumbo

Kwa mtu yoyote aliyesoma huki kitabu atajua ninachoongea hapa ni nini...

confessions-of-an-economic-hitman.jpg



Kuna CIA tena raia wa USA kaikamata kisawa sawa serikali ya Tanzania na amekuwa bize kuongea na akina Paul Hicks ili waongee na serikali ya Obama kuhusu MCC

Clue: Ni mwanamke, anaingia ikulu kama chooni na yuko very much linked na hizi pesa za MCC na akina SYMBION ambao washapewa dili la kuinunua TANESCO, watapewa projects zote za power generation, na kwa kuonyesha jinsi gani akina Paul Hicks walivyoweza kuwapiku akina GE. Basically washa sema wazi kuwa mpaka sub contracts zote zitarudi kwa kampuni ambazo ziko affiliated na wao. Tazama hili jedwali hapo chini utaelewa:


ufp1quyragy8c4utlql3rgano1_500.jpg


kwa mnaocheza monopoly na yule jamaa yetu aliye graduate chuo ya national security naamini akiamka anaweza kuja kum out kwa jina na miradi feki ambayo huyu mama amekuwa aki front na list ya maofisa wa ngazi ya juu pamoja na mawaziri ambao wako kwenye payroll yake

pict45.jpg


Makao makuu ya CIA, Langley Virginia

clue number 2. Huyu si kati ya wale CIA ambao serikali kisheria lazima iwafahamu ambao wako ubalozini na balozi zote dunianiamekuwa kama vile semi independent contractor japo waajiri wake wako hapo juu ambao in essence ni serikali ya USA.


connection ya Paul Hicks mtaipata humu na hizo pesa za MCC ambazo inabidi zirudi USA zaiidi bonyeza hapa:


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/152989-symbion-power-intelligence-watupu.html


Hivyo mnaposoma kuwa USA wamekata misaada na blah blah zingine jueni kuwa hawa hawa USA walishawahi kumfukuza mwakilishi wa WORLD BANK Tanzania lakini hii itabidi niifungulie thread nyingine kwani inahusika directly na ESCROW

Jamii Forums, where we dare to talk openly...IN PARABLES!
 
NCHI kuwategemea wahisani kwa kila jambo ni dalili za TAIFA la watu wasiojitambua mafisadi kama viongozi wangeamua kufunga mkanda na kujenga nchi wangeacha siasa ktk suala la uchumi nchi ingeendelea kodi wanakusanya ila inaliwa tu na miradi ya viongozi haitozwi kodi kodi wanalipa masikini pia sekta kama umeme huwezi kuwapa vibaka kama Singasinga sema wanamaslahi hawa viongozi wetu.
 
napita tuu. Hivi inawezekana vipi cabinet minister apewe sophisticated equipments na jamaaa wa Langley ? Ili iweje ? Afterall amekuwa akipeleka habari zoote kwa handler wake on weekly basis au ndio mambo ya kutishana?
 
US hainashida na watu wastaarabu wanaoweza ku trade nao kwa basis ya win-win scenario. Lakini wanashida na mataifa barbaric na wanaofanya double agency! Hapo wanakuwa hawawezi ku ascertain hypotheses zao walizojiwekea kwenye long term planning.

Kupata win-win situation ni rahisi zaidi kwenye nchi zenye democracy na yenye uongozi unaoaminiwa na raia wake. Katika hali hiyo transaction costs zao zinakuwa highly lowered na wanaweza ku maximize benefits.

Hakuna haja ya kuwaogopa bali tuimarishe na sisi economic intelligence yetu tuweze ku bargain na kufikia kwenye win-win agreements!

Ebu tuondokane na hofu zisizo na msingi, zama hizi collaborations na comparative advantages ndizo zitakazo inua welfare ya raia wetu......
 
napita tuu. Hivi inawezekana vipi cabinet minister apewe sophisticated equipments na jamaaa wa Langley ? Ili iweje ? Afterall amekuwa akipeleka habari zoote kwa handler wake on weekly basis au ndio mambo ya kutishana?
kama sio Nyalandu basi ni Membe
 
naendelea kupita tuu
 
Back
Top Bottom