Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

Hivi Nyalandu si walisema ana Green Card ya marekani??
 
Hivi Nyalandu si walisema ana Green Card ya marekani??
Hivi nyie Lumbumba buku 7 akili zenu mmekubali kabisa zifungiwe kabatini hata kujifunza vitu vidogo vidogo hamuwezi.
Hivi Kuwa na green card ndo kuwa raia?
 
Hivi nyie Lumbumba buku 7 akili zenu mmekubali kabisa zifungiwe kabatini hata kujifunza vitu vidogo vidogo hamuwezi.
Hivi Kuwa na green card ndo kuwa raia?
Mwenye Green card hawezi gombea nafasi za uongozi tu Ila ana haki Kama Raia wengine,

Jiongeze kijana. Huyo ni mamluki.
 
Back
Top Bottom