Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

Huyu CIA anafanya nini Serikalini ?

Nilijiuliza yaani Obama atoke US alaf aje kufungua mitando ya Symbion kuzalisha umeme TZ..
 
If you are man enough and a true patriot as you seem to insinuate, go further and open up, mention the name of the mole and your authoritative reason and or source for suspecting the credentials and mission of the subject or else SHUT UP!

Umenena vyema chief, kama hawezi kutaja bora apeleke huo uzi wake fb......hapa we dare to talk open......
 
Jf inapoteza uhalisia wake kwa threads kama hizi, kila mtu anaweza kutunga na kuwek avipicha picha vyake mradi aonekane na yeye analo la kusema,
 
Tutarudi na roho zetu............

Hii ni NJAMA, nilipotafakari kwa muda mada hii nikajiuliza, JE KISASI? Ndipo likanijia wazo kuwa sasa kilichopo ni AMA ZANGU AMA ZAKO. Ni muendelezo wa MAKUWADI WA .....
 
If you are man enough and a true patriot as you seem to insinuate, go further and open up, mention the name of the mole and your authoritative reason and or source for suspecting the credentials and mission of the subject or else SHUT UP!
Or you may make shut him up by criticizing his "hypothesis" by facts, how about this method sir!!!
 
Nilijiuliza yaani Obama atoke US alaf aje kufungua mitando ya Symbion kuzalisha umeme TZ..

Umeonae!!!!!!!
hata mimi hicho kitu nilijiuliza sana ila sema ndo hivyo tena ukimwambia mtu anaweza akakuona kama una wivu.
 
..ndo mjue gharama za kuwalamba miguu wageni kila kukicha....sasa wanawageuka msilaumu mtu...Hata hao majamaa wa symbion power wengi wao wanafanya kazi kama double agents wa USA....jukumu lao kubwa likiwa kufatilia kusambaa kwa upepo wa kigaidi ktk pwani ya Africa mashariki...Sisi wabongo watawala wetu wanawakumbatia kwa gharama ya kugawa raslimali zetu kwao......Ngoja wafanye kazi zao..maana tumewakaribisha wenyewe ..hadi tumeipa mitaa ya ikulu yetu majina yao.....Hatuna wakulaumu..........ni ujinga wa watawala wetu kukosa ujasiri wa kujitegemea........
 
ufp1quyragy8c4utlql3rgano1_500.jpg
 
C.i.a recruits regularly,na kwa ambao hamjuh m16 na c.i.a ni kitu kimoja,kuanzia symbn mpaka iptl ni intelligence game,iran,usa,britsh,uae,na sasa russia wote wanataka kuteka energy sector ya dunia,kazi ya c.i.a kufanya recruitment ilikuwa intensfd kutoka 2009 mpaka 2014,senior officials serikaln,vyuon na wanafunz walikuwa targetd,tiss kitengo cha counter terrorism msilale
 
Back
Top Bottom