Huyu Binti Ni Nani ?

Huyu Binti Ni Nani ?

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,106
FB_IMG_1506778111427.jpg
 
Ndio hivyo, ila hii picha imenifanya mi mwenyewe nijicheke mana nina picha zangu za zamani nikiwa mdogo huwa nikiziangalia nacheka sana.

Hahahaaaa. Ila watu tunatoka mbali jamani.
 
Ndio hivyo ila hii picha imenifanya mi mwenyewe nijicheke mana nina picha zangu za zamani huwa nikiziangalia nacheka sana.

Hahahaaaa. Ila watu tunatoka mbali jamani.
Ni lulu kweli? If so, huyu mwigizaji alimtoa wapi
 
Huyo ni binti ambaye kila siku unaota awe mkeo
 
Ndio hivyo, ila hii picha imenifanya mi mwenyewe nijicheke mana nina picha zangu za zamani nikiwa mdogo huwa nikiziangalia nacheka sana.

Hahahaaaa. Ila watu tunatoka mbali jamani.
Ndo hivyo,ukimwangalia kipindi kile na jinsi alivyo now,yani ujue ww mwenyewe umekua sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom