Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

Mungu aniepushe na tamaa za kijinga... mtoto wa shangazi?! Tena mtu mzima mwenye familia!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Du mkuu umesema umeoa na una watoto? Na unasema huyo binti ulimtolea mate ni mtoto wa shangazi yako, yaani Dada yako?? Huyo ni pepo tu katubu kwa mke na mungu wako ili wewe na familia yako ipate kupona.
Kweli n Pepo sio Bure!!! Et anamlia timing mtoto wa Shangazi !!!! WTF!
 
Nimeamini kuna magojwa unaweza kumletea mke kwa upumbavu wako tu. unafanya ujinga kama huo mbele ya wazazi! shame on u! watu tunaomba tupate mke wa sampuli yako, wewe ndio kwaanza eti ntarevenge! hiyo aibu unaistahili! u deserve it!
 
Pole sana jamaa.
ila usiwaze sana hilo lishajitokeza hina budi kulikabili na inabidi ujifunze kupitia hilo.
humu kuna wanaokuponda na kukutoa akila hali ya kuwa humu humu wapo waliofanya makubwa zaidi ya hilo.
wanajisahaulisha km mdudu nyege akikushika vilivyo hta akila inakuwa si bara bara kama ilivyo kawaida
 
Waheshimiwa nawasalimu,

Nilisafiri kwenda kijijini kwetu kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka, nilienda na familia yangu, yaani mke na watoto wangu, huwa ninafanya hivyo kila mwaka Ingawa sitoki Uchagani, huwa naamini kuwa baada ya kutoka kule mambo yangu kazini uniendea vizuri kutokana na baraka za wazazi.

Hata hivyo safari hii mambo yamekua tofauti kutokana na msala ulionikuta huko kijijini.

Ni hivi, kuna mtoto wa shangazi yangu nilimkuta huko nae alikua amekuja kusalimia alitutangulia alifika December 14, ni mzuri ajabu na ameumbika sana.

Pamoja na kuwa nilienda na mke wangu niliazimia nimpate nimalizane nae kule kule, hata hivyo sikupata mazingira rafiki ya kuongea nae kwa kua wife aliniganda kila sehemu, nikiwa huru yule binti nae anakua ametoka kwenda na wanawake wenzie sehemu zingine kuhani misiba iliyojitokeza siku au miaka ya nyuma na wanarudi usiku.

Hivyo nikaamua kufanya hilo zoezi usiku, kuna ndugu yangu mwingine wa ukoo bila kujua kuwa ni bangi zinamsumbua akanijaza upepo kuwa yule mtoto ni maharage ya Mbeya, ya kwamba ukiandaa kumi yako tu haruki, na kwamba tangu msichana kafika hapo masela kibao tu wamelamba, nikaingia kingi.

Ilikua tarehe 27 usiku, tulikua tumebaki watu wachache nje tunakunywa pombe na baba akiwemo, nikamuona yule binti anaenda na ndoo ya maji uelekeo wa bafuni, kama mjuavyo kule kijijini uani kunakua mbali na manyumba, nikaendako huko na mimi, bila watu kujua nilichukua root nyingine, nikakuta alishaanza kuoga, nikamuita kwa sauti ya chini akaitika na kuniuliza wewe ni nani? Na huoni kuna mtu bafuni?

Nikatoa elfu kumi mfukoni na kuanza kumbembeleza kuwa aniruhusu niingie bafuni huku nikipenyeza ile tena kupitia kwenye gunia lililofungwa hapo mlangoni, nikamwomba aniachie hata bao moja tu.

Kinyume na matarajio yangu, akaniuliza umechanganyikiwa akili au nini!? Akanifukuza ondoka haraka kabla sijapiga kelele, utakua umechanganyikiwa sio bure.

Sasa na mimi sijui ni shetani au nini, nikadhani huenda ana play ile hard to get, nikaingiwa na munkari flani nikasukuma gunia lile pembeni na kuzama ndani na kuanza kumlilia hali nikijaribu kumkumbatia ambapo alipiga mwano mkali na kuanza kupiga mayowe, nikatoka mimi bafuni kama niliechanganyikiwa vile badala ya kukimbilia ile root niliyokuja nayo nikaingia kwenye shamba la mahindi lililo nyuma ya choo.

Baba na watu wengine wakaja pale na kumuhoji, akanitaja kuwa nilimvamia bafuni na kwamba nikaingia kwenye mahindi humo, wakamulika tochi wakaniona wakanifuata pale, baba alipigwa na butwaa, akawaambia mfungeni kamba haraka, ghafla nikambadilikia yule binti mbele ya watu, nikawaka kabisa, nikasema mimi nilikua naenda kujisaidia bila kujua kama kuna mtu nikasukuma gunia na kuingia kumbe kuna mtu ndipo akaanza kupiga kelele, nikaogopa nikaingia shambani.

Alipoulizwa na baba mkubwa eti ilikua hivyo akajibu ndio ilikua hivyo likawa limeisha, wazee wakasema siku nyingine ukifika uani unagonga hodi ya mdomo kuuliza sio unazama tu kama kilabuni, huku wengine wakisema huyo itakua ni pombe hizo kanywa nyingi sana tangu jioni, likawa limeisha hilo.

Hata hivyo nikabaki na aibu kubwa rohoni, maana kesho asubuhi kila mtu anaeleza lake, mke wangu hakuniongelesha kabisa, ikanibidi niwe mkali nikamwambia amini unavyotaka na tarehe 29 tunaondoka na sio 4 tena, hadi sasa tupo Dar lakini ana hali ile ile, nahisi ni maneno ya watu aliyosikia kwa wanawake, nahisi yule binti alieleza version tofauti kule kwa akina mama.

Wadau sijui nisemeje aisee!

Nitalipiza kwa namna yangu, kulikua na sababu gani ya kuniitia watu?
Kama umeamua kureveng kwann umepost humu??


Halafu mbona unakuwa mwepesi sana wa kuhukumu??haijalishi umefanyiwa mabaya kiasi gani!hivi ww siku zote hukosei?? Je Muumba wako akimamua kufanya revenge ungepona??

Sometimes ni vema unarevange kwa kukaa kimya tu utaonekana mtu wa thaman pia umekomaa kiakili
 
Wewe ni mchafu wa kiwango cha mwisho kabisa, yn ulitakiwa ufungwe zile kamba na uchapwe bakora za kutosha, cyo kwa umalaya kiasi hicho.. Tena mshukuru sana huyo binti kwa kukuokoa mbele ya macho ya watu lasivyo cjui ungeweka wap sura yako kuanzia kwa mkeo hadi watoto. Usiwaze ht kisasi hizo mambo umezitaka mwenyew.. Wew ulipewa akili na mtu bila kuongeza zako ukaenda kupeperusha ela bafuni ili eti avutiwe nayo Ha ha haaaa kwa sauti!! Enzi hiziiiii
 
Zifuatazo ni njia Kuu tatu za ' Kurivenji ' kwa aliyekuwa Mpenzi wako ambazo ukimfanyia lazima atakuheshimu daima mpaka pale pumzi yake itakapokosa ushirikiano na hii dunia tunayoiishi / tuliyopo sasa:
  1. Pita nae ' emergency door ' ya Kibaiolojia mara moja tu.
  2. Tafuta Mwanamke Mrembo kumzidi Yeye au ' mbaioloji ' Rafiki yake wa karibu sana na Kipenzi au Ndugu yake.
  3. Muendee Mlingotini ( namaanisha kwa Mganga ) ili ukamfanya ' ablidi / atumike / awe hedhini ' maisha yake yote aliyoibakisha kuwepo hapa duniani.
Nimeshakupa ' maujanja ' hivyo Kazi Kwako sasa Mkuu kwa kutiririka na kuserereka nazo.
 
Sasa unaanzaje kumtamani mtoto wa shangazi yako?! Maana kama ni shangazi yako it means ni dada wa baba yako mzazi of which hiyo ni kinyume na maagizo ya MUNGU maana ni laana kubwa sana kulala na ndugu yako.

Na yeye kukutoa baruti hapo ni kwasababu umemkosea adabu kumtaka kitu ambacho hakiwezekani kimaadili labda bange zikutume.

So usirudie huo upuuzi.
 
Yaan unawazaje kuzini na mtoto wa shangazi yako ungempa mimba akazaa mtoto je ungefill comfortable aseh unazalilisha wanaume ndugu yangu

Vivyo hivyo haya mambo wanafanya watu waliolaaniwa
Hayo ya kubaka tena ndgu wa damu
Mimi mwenyewe hapo ndio sijamuelewa kabisa kwamba wanaume siku hizi wanagegeda dada zao halafu wanaona ni sawa kabisa.....?!
 
Pole kwa hayo mawazo mgando, hv ww ni kabila gani? Unataka kumgegeda binamu yako? Huna maana kbs mpumbavu ww!
 
Back
Top Bottom