Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

Huyu binti kanidhalilisha mno! I will revenge

Hivi mnajifungasha kutoka huku mjini mnajaza magari kumbe bafu mlango ni gunia?

Binti alikukomesha, mkeo hakutoshi?
 
Unahitaji maombi na kutubu.
Hizo hasira za nini kwake huku umetenda mwenyewe.. ungempa mimba? Ungefumaniwa he?

Mkeo nampa pole.. yaani nduguyo umetaka kulala nae.. aibu kubwaaaa
 
Hakyanani kama hii stori haijapikwa basi aibu naona mimi.....
 
Eti elf 10..mtu yeyote mwny akili timamu lazma areact kama uyo dada,
Unarevenge nin wkt Mungu kashakuanika?..
 
Bora ungekaa kimya aisehh lkn siyo kwa kuleta thread yako isiyo na mafundisho yeyote...kumbe hata kwa wagalatia binamu anaruhusiwa kuliwa eehhh??
 
Eti elf 10..mtu yeyote mwny akili timamu lazma areact kama uyo dada,
Unarevenge nin wkt Mungu kashakuanika?..
Ulanzi uingizwe kwenye kundi la madawa ya kulevya. Duh kuna kujitoa ufahamu ila hapo huyo jamaa alipitiliza. Sasa kaka wa thread komaa umle ila uende kiume ukienda tena na utoto huo basi hata mke utamkosa!
 
Shetwani kakupitia mkanywa nae pombe akakupeleka bafuni halafu baada ya mayowe yale shetwani akakuacha peke yako ule kipondo au uadhirike. Huyu shetwani huyu .

Pole mkuu
 
Shame shame shame unatudhalilisha wanaume mkuu
 
Hayo utokea, misala hupata watu, kubwa nenda polepole na mkeo Kwan umemkosea. Usilazimishe kusamehewa mwache mpe muda yataisha. Mshukuru binti kwani ulipojitetea alikusaidia kuzima soo hiyo inaonyesha kakomaa kuliko wewe, mtafute umshukuru kwa kukuokoa na mzee
 
Halafu unajidai eti eeehh lazima niende nyumbani kila mwisho Wa mwaka kupata baraka za wazazi ili mwaka unaofuata mambo yangu kazini yaende vizuri!!!! Nakuhakikishia mwaka wote huu mambo yako yatakuwa valavala tu. Peleka hela nyumbani Mzee ajenge choo na bafu la kisasa, hapo utakuwa umemshawishi kwamba kweli ilikuwa bahati mbaya na ilikuuma . Hata mkeo anaweza kufikiria kukuamini. Omurisha onuuu, aii rataaaa!!!!
 
nimecheka sana! huku nikiwa navuta picha ya mazingira ya kijijini kwetu!.Mungu huyu sijui aliweka nini kwenye papuchi-utamu wa hii kitu huwa hautuachi salama.
 
mkuu pole humu jf wanawake wengi na wanaume wachache watakuponda ila wanaume tulio wengi mazingira hayo tunakutana nayo kwa matukio tofauti
 
mwisho wa mwaka huu fanya iwe elf 20 mkuu akizingua weka begani peleka kwenye mahindi fanya yako.
 
Bora Nyumba Ivunjike Ila Sio Heshima Cjui Mkeo Utamweleza Nn Akuelewe , , , Any Why Fanya Hvi Okoka Umpokee Yesu Kuwa Bwana Na Mwokozi Wa Maisha Yako Ukiwa Na Roho Mtakatifu Ndan Yako Hutazitimiza Tamaa Za Mwili , Hutapatwa Na Aibu Au Kukosewa Heshima Kiasi Hicho Zaidi Uzima Wa Milele (unaweza sema mbona kuna walo okoka na wana zini, wanalitukanisha jina la Mungu na kila mtu atahukumiwa kivyake we usiwafate wao we fuata maagizo ya roho mtakatifu) Ukisha okaka na KUTUBU usijilaumu wala kujihukumu itakuletea shida kiroho na kiakili utajiona mkosefu na utahisi kila mtu anakuhukumu , hivo kuwa huru kwamba umesamehewa dhambi na usiludie tena.
 
Back
Top Bottom