Waheshimiwa nawasalimu
Nilisafiri kwenda kijijini kwetu kwa mapumziko ya mwisho wa mwaka, Nilienda na familia yangu, yaani mke na watoto wangu, huwa ninafanya hivyo kila mwaka Ingawa Sitoki uchagani, huwa naamini kuwa baada ya kutoka kule mambo yangu kazini uniendea vizuri Kutokana na baraka za wazazi
Hata hivyo safari hii mambo yamekua tofauti Kutokana na msala ulionikuta huko kijijini
Ni hivi, Kuna mtoto wa shangazi yangu nilimkuta huko nae alikua amekuja kusalimia alitutangulia alifika December 14, ni mzuri ajabu na ameumbika sana,
Pamoja na kuwa Nilienda na mke wangu niliazimia nimpate nimalizane nae kule kule, hata hivyo sikupata mazingira rafiki ya kuongea nae kwa kua wife aliniganda kila sehemu, nikiwa huru yule binti nae anakua ametoka kwenda na wanawake wenzie sehemu zingine kuhani misiba iliyojitokeza siku au miaka ya nyuma na wanarudi usiku
Hivyo nikaamua kufanya hilo zoezi usiku, Kuna ndugu yangu mwingine wa ukoo bila kujua kuwa ni bange zinamsumbua akanijaza upepo kuwa yule mtoto ni maharage ya mbeya, ya kwamba ukiandaa kumi yako tu haruki, na kwamba tangu demu kafika hapo masela kibao tu wamelamba, nikaingia kingi
Ilikua tarehe 27 usiku, tulikua tumebaki watu wachache nje tnakunywa pombe na baba akiwemo, nikamuona yule binti anaenda na ndoo ya maji uelekeo wa bafuni, kama mjuavyo kule kijijini uani kunakua mbali na manyumba, nikaendako huko na mimi, bila watu kujua nilichukua root nyingine, nikakuta alishaanza kuoga, nikamuita kwa sauti ya Chini akaitika na kuniuliza wewe ni nani? Na huoni Kuna mtu bafuni?
Nikatoa elfu kumi mfukoni na kuanza kumbembeleza kuwa aniruhusu niingie bafuni huku nikipenyeza ile ten kupitia kwenye gunia lililofungwa hapo mlangoni, nikamwomba aniachie hata bao moja tu
Kinyume na matarajio yangu, akaniuliza umechanganyikiwa akili au nini!!!? Akanifukuza ondoka haraka kabla sijapiga kelele, utakua umechanganyikiwa sio bure
Sasa na mimi sijui ni shetani au nn, nikadhani huenda ana play ile hard to get, nikaingiwa na munkari flani nikasukuma gunia lile pembeni na kuzama ndani na kuanza kumlilia hali nikijaribu kumkumbatia ambapo alipiga mwano mkali na kuanza kupiga mayowe, nikatoka me bafuni kama nilie changanyikiwa vile badala ya kukimbilia ile root niliyokuja nayo nikaingia kwenye shamba la mahindi lililo nyuma ya choo
Baba na watu wengine wakaja pale na kumuhoji, akanitaja kuwa nilimvamia bafuni na kwamba nikaingia kwenye mahindi humo, wakamulika tochi wakaniona wakanifuata pale, baba alipigwa na butwaa, akawaambia mfungeni kamba haraka, ghafla nikambadilikia yule binti mbele ya watu, nikawaka kabisa, nikasema mimi nilikua naenda kujisaidia bila kujua kama Kuna mtu nikasukuma gunia na kuingia kumbe Kuna mtu ndipo akaanza kupiga kelele, nikaogopa nikaingia shambani
Alipoulizwa na baba mkubwa eti ilikua hivyo akajibu ndio ilikua hivyo likawa limeisha, wazee wakasema siku nyingine ukifika uani unagonga hodi ya mdomo kuuliza sio unazama tu kama kilabuni, huku wengine wakisema huyo itakua ni pombe hizo kanywa nyingi sana tangu jioni, likawa limeisha hilo
Hata hivyo nikabaki na aibu kubwa rohoni, maana kesho asubuhi kila mtu anaeleza Lake, mke wangu hakuniongelesha kabisa, ikanibidi niwe mkali nikamwambia amini unavyotaka na tarehe 29 tunaondoka na sio 4 tena, hadi sasa tupo dar lakini ana hali ile ile, nahisi ni maneno ya watu aliyosikia kwa wanawake, nahisi yule binti alieleza version tofauti kule kwa akina mama
Wadau sijui nisemeje aisee
Nitalipiza kwa namna yangu, kulikua na sababu gani ya kuniitia watu?