Huyu binti ananifanya nikonde

Mkuu, kwani ulishawahi kula mzigo? Inawezekana basi kiwango chako hakikumkuna. Jaribu kuimprove pia kwenye hiyo sekta...
 
anayekupenda hawezi kukutania miutani ya hivyo iliyovuka mipaka mwache aende mwanzoni utaumia sbbu umemzoe badae utamsahau pole sana mkuu huna mpenzi hapo ila ni jaka moyo kupeana presha tu
 
I can feel you bro...ila kubwa jiandae kisaikolojia kuachana nae tena ikiwezekana wewe ndo umwache la sivyo kilio utakacholia humu jukwaani kuleta mrejesho hadi server za JF zitazima
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
anayekupenda hawezi kukutania miutani ya hivyo iliyovuka mipaka mwache aende mwanzoni utaumia sbbu umemzoe badae utamsahau pole sana mkuu huna mpenzi hapo ila ni jaka moyo kupeana presha tu
Huyo bila shaka atakuwa ana umri kati ya miaka 18-20
 
anayekupenda hawezi kukutania miutani ya hivyo iliyovuka mipaka mwache aende mwanzoni utaumia sbbu umemzoe badae utamsahau pole sana mkuu huna mpenzi hapo ila ni jaka moyo kupeana presha tu
Afanye nini ili aweze ku cope hali ya atakayokuwa nayo baada ya ku break up. Hapo ndiyo shida yake kubwa ilipo.
 
Ana umri gani?
Mana kuna mmoja alishaniletea kama hizo
Nilichomwambia ni kuwa we nenda utakapo komaa akili na kujiona uko tayari njoo uniambie kuwa umeshakuwa sasa niko tayari.
me namwangalia tu sasa hivi
Anaendeleaje kwa sasa
 
Mkuu hakuna kitu kizuri kama unaempenda naye anakupenda,, lakini huyo nakushauri jitahidi umsahau,
Huyo hajaingia kwenye yupo hivo vipi akishakuwa. Ktk ndoa,, by the way huyo tayari kuna mtu ana GEGEDA bila hata huruma,,so temana naye,
Halaf inaonekana unamhonga sana!! Ndo maana naye yupo kama anasitasita kukuacha
 
Kiundani kabisa inaonekana wewe bado akili yako haijakomaa vizuri kwenye suala zima la mahusiano, na pia hujawaelewa vizuri wanawake. Ukikua utaacha
 
Tambua pia Mungu aliwaumba wagonjwa wa akili,
na wengine tunaishi nao bila kujijua. Think twice
 
Kweli duniani hakuna usawa
-wengine wanakonda kwa kukosa chakula
-wengine wanakonda kwa ajili ya papuchi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…