Kwanini bibienapendaga comment zako
basi tu huwa upo straight haupindishiKwanini bibie
Huyo demu anatikisa kiberitii tuu mimi ilishawahi kunitokea hivyo kwa msichana mmoja hiv ilikua hivyo hivyo kama baadae nikamwambia sawa tuachane na tena nikamwambia sitaki hata masiliano naye.Ndugu zangu awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa kuniweka salama siku ya leo japo hapa nilipo pressure ipo juu kweli kwasababu ya binti ambaye kwa dhati ya moyo wangu niweke wazi napenda sana awe mama watoto wangu kwa muda ambao yeye atakuwa tayari mimi nipo tayari muda wowote.
Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni hali ngumu na mawazo anayonipa huyu binti sio uwongo ananidengulia sana, ni mwanamke niliye dumu naye kwenye uhusiano kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu lakini nimetokea kumpenda mpaka nimefikia hatua ya kutaka kuoana naye na akanikubalia. Lakini kwa siku za karibuni zisizozidi wiki mbili amekuwa mtu asiyeeleweka kwa maana ya kwamba anatuma sms ananiambia tuachane kwa mda kwanza alafu tuendelea baadaye hivyo hivyo nalia lia mpaka anabadilisha mawazo. Lakini hiyo tabia ilijirudia kwa mara tatu na mara ya nne nikapiga moyo konde japo naumia moyo nijamjibu kuwa asiwe na tatizo nimekubali kuachana nae kama anavyohitaji.
Lakini leo asubuhi akatuna sms kwamba hakumaanisha bali ni utani tu na mimi nikamwambia HAPANA acha iwe kama ulivyohitaji mwanzo, akajibu POA.
Lakini ndugu zangu niwe muwazi ili mnishauri vyema huyu binti nampenda sana sana ila niliamua tu kutikisa kiberiti na mimi. Je kuna uwezekano ananipenda au ashaniona kilaza na kunifanya mdoli?
Tafadhali nahitaji ushauri wenu.
Unamaanisha ana tabia kama za magu ?basi tu huwa upo straight haupindishi
huyo uliyemtaja hata simjuiUnamaanisha ana tabia kama za magu ?
Ngoja na mimi nisi fafanue zaidi. Maana nitakuwa nimehama jukwaa.huyo uliyemtaja hata simjui
mwache tu tafuta demu mwingine na tafuta pesa hawezi kukutishia tishia kijinga hivyo


Kwa kweli sipendi mzaha kwa masuala yanayogusa hisia za moyobasi tu huwa upo straight haupindishi
karibu sana mkuu pesa tamuMiss chagga kama kuna kitu kinanikosha kuhusu wewe na comments zako ni neno pesa kuonekana karibia comments zako zote![]()
Aji sacrifice hata kama hapendwi ?Wewe fuata moyo wako, usitusikilize sisi. Sometimes ni muhimu uji sacrifice kwa unayempenda!
20yrs oldAna umri gani?
Mana kuna mmoja alishaniletea kama hizo
Nilichomwambia ni kuwa we nenda utakapo komaa akili na kujiona uko tayari njoo uniambie kuwa umeshakuwa sasa niko tayari.
me namwangalia tu sasa hivi
karibu sana mkuu pesa tamu
kwahio miss chagga, nikidaka mkwanja nikutafute tukafurahie mapenzi? 
kabisakwahio miss chagga, nikidaka mkwanja nikutafute tukafurahie mapenzi?
![]()
Ndo mana utoto unamsumbua.20yrs old