Huyu binti ananifanya nikonde

Huyu binti ananifanya nikonde

Mi mwezi uliopita tu kuna kabinti ka miaka 20 kalinifanyiaga hivyo. Eti kananiambia "kuanzia Leo sitaki kuwa na wewe futa na namba yangu, yaani sijisikii tu kuwa na wewe. Hivyo kila mtu aendelee na maisha yake!"

Nilicho mjibu moja kwa moja bila kupindisha tens kwa ustahimilivu na utulivu wa moyo( bila kuonesha hisia za maumivu), ingawa kwa maumivu, ni kwamba "futa na yangu"

Nilipomwambia hivyo sijui ilimuchoma akaondoka baadae akarudi mwenyewe baada ya saa kama mbili hivi analalamika anasema "kumbe umenichoka eeh? !"

Nikamjibu "kati yangu na wewe nani aliyemchoka mwenzie?" yaani ckutaka kumwambia moja kwa moja kwamba mi sijakuchoka. "Wewe kama umenichoka nenda zako".... Aka-pretend kuondoka anasema "poa maisha mema." Mbona alirudi baada ya siku 2 tu akafika akakaa kimyaa kwa muda badae nikamuuliza "vipi?" Akajibu "poa tu, dah!" akaanza kusema alikuwa na stress vibaya sana na alikuwa hana raha hata kidogo...Eti ananiuliza "wewe ulikuwa unajisikiaje?" Nikamwambia "kwa kuwa nilikuwa bize na mambo mengine pengine ndo maana sikufikiria kwamba nimeachana na wewe...nilikuwa naona kawauda tu ingawa saa zingine nilikuwa nakumbuka kidogo halafu nasahau!" Akaa kimyaa ..

Kwa hiyo wanajaribugi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom