Ah...pesa ktu gani mm pia ilikuwa hvyohvyo nimehudumia saaaaaaana havinaga shukran hv vitoto vikifika 27 28 29 ndio vnakumbuka nafasi walizochezea pga chini najua ngumu ila we jitahidi kukausha jpo miezi 3 tu utaona reaction yke katanyooka hko kata huduna zote tuone wangese wenzie wanaomtia kibri wanaweza kumhudumia km unavyofanya ww? hyo miezi 3 ni km probation ikiisha sio urudiane nae ss utanivunja moyo mshauri nasaha usiwe mngese ikiisha hyo probation ya miezi 3 ndio unampa ss mkataba wa kudumu kustafu hadi miaka 60 lazma anyooke!