Huyu binti anachekesha sana. Atanikumbuka

Kuna akili na elimu, ni vitu viwili tofauti, waweza kuwa na elimu lakini ukawa huna akili.
Mkuu, kwani kuna definition nyingine ya akili ukiachilia mbali suala la kutafuta pesa? Uwezo wa kutafuta pesa na kuzipata ndio akili yenyewe. Hizo nyingine peleka kwenye vikao vya ukoo ama vikoba[emoji23]
 
Hujambo we mjinga? unadhani akili yako iko sawa?
Ndio mkuu[emoji23] Kwani ulitegemea nilete uzi wa "Nimelia kama mbwa baada ya kukataliwa na mwanamke mweusi".?

Mwanamke akikukataa tafuta dada/ mdogo wake/ rafiki yake chapaaa[emoji41]
Huo ndo ulijendari na uanaume halisi
 
Scientifically hakuna fyuzi kwenye bichwa la mtu

Lakini ukweli utabaki kuwa hivyo hivyo. I'm handsome like Jay Melody
Umekataliwa sasa. Unaezajiona hb maana hata hamorapa huwa anasema ni hb, domo pia huwa anasema ni hb ila domo na hamo, domo anangoa pc za kiwango kuliko hamo sababu ana hela, so wanawake hawampendi mwanaume sababu ya sura mdogo wangu, tafuta hela
 
Sio mara ya kwanza. Sema huyo mwanamke niliamua kumtongozea hasira. Hence niliperform better kiasi kwamba nikaacha alama ya mshangao kwa waliokuwa karibu nami

Wangekuwepo watu wa media, wangenitaka nirudie ili tufanye tangazo
Huyo binti aliyekushushua apewe maua yake, anajitambua na kujithamini. Nahakika alivyoona kilichotokea ndio akazidi kuwa na uhakika kuwa alifanya maamuzi sahihi, sababu nahisi ndio kwanza umebarehe juzi juzi.
 
Ndio mkuu[emoji23] Kwani ulitegemea nilete uzi wa "Nimelia kama mbwa baada ya kukataliwa na mwanamke mweusi".?

Mwanamke akikukataa tafuta dada/ mdogo wake/ rafiki yake chapaaa[emoji41]
Huo ndo ulijendari na uanaume halisi
Hahahhaha, nazidi kujihakikishia kuwa upo kipindi cha barehe.
 
Baada ya kumuona akiwa mpweke nikaamua kumpandia juu. Kama kawaida yangu ya ucheshi wa hapa na pale bila kusahau utani mwingi. Kanijibu "Mimi sio mwanamke wa hivyo, katika maisha yangu sipendi utani na ucheshi wa kijinga".

Binafsi niliona ni vyema nimuonee huruma tu kwa kuwa kati ya wale wenzake wawili aliokuwa nao, yeye ndiye mmbovu. Always black is beauty, lakini kwa uweusi aliokuwa nao ni basi tu. Hata kama angeliingia king ningeishia kucheza na hisia zake na nisimchakate hata mbususu

Kijana handsome kama mimi ninayeliliwa na wanawake kadha wa kadha hapa mtaani bila kusahau wake za watu na watoto wao ninajibiwa shit kweli!!?[emoji23]

Pale pale mbele yake niligeuza shingo kwa hasira kali nikasogea mbele kumtongoza mmoja kati ya hao wawili aliokuwa nao. Nimemuimbisha verses plus heavy tone na tabasamu kwa mbaaali, binti kabaki anamwaga udenda tu. Nikamalizia kwa kumwambia, "Hiyo ni tlera tu, bado movie lenyewe" nikachukua simu yake kwa swaag nikaandika namba yangu kisha nikaichum mpaka simu yenyewe. Kabaki ananitizama tu ninavyoishilia

Huyu kiswaswadu (cheusi Mangala) alilishuhudia tukio lote hilo. (Tukio ni la jana usiku )

Mida ya saa nne binti akanicall, katika mazungumzo ya hapa na pale ndipo kuja kugundua kuwa yeye na huyo Mangala ni mtu na mdogo wake

Wacha picha ianze! Mrejesho wote nitakuwa naupachika hapa

N.B Wanawake acheni kushindana na wanaume. Shwain!
hivi jf hamnaga group la "watoto" wawe na forums yao kabisa.
 
Alikuwa sahihi sana.
Huenda wewe ni handsome kweli lakini HUNA TOFAUTI NA MDOLI.
wanawake wanata wenye akili sio midoli
 
Yaani unashindana na mwanamke kwa mipasho na vijembe??

Vijana wa 2005 jau sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom