Mwikizu wa nyamswa
Member
- Sep 24, 2023
- 78
- 121
Swali gumu na la msingi ambalo mmeshindwa kulijibu ni "mleta mada ana akili timamu?"
Swali la gumu na la msingi ambalo mmeshindwa kulijibu ni "mleta mada ana akili timamu?"
Akili sio ishu kwake kikubwa yey n handsome[emoji1783]
Nina miongo mitatu na mausheeeHow old are you dear?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha naona kaandika ujinga ujinga Sasa nataka kujua umri wake huwenda akawa sahihi kwa age yake
Ndio mkuu. Sio akili tu, bali nina degree mbili za biashara na uchumiSwali gumu na la msingi ambalo mmeshindwa kulijibu ni "mleta mada ana akili timamu?"
NAKAZIAAkili sio ishu kwake kikubwa yey n handsome[emoji1783]
Hapana mkuu. Nimekwisha kua. Nina mtoto wa kiumeukikua utaacha
Hapana, nilipatwa na hasira, hivyo nikamvaa pisi kali aliyekuwa mbele yake pasi na kujua kama ni ndugu yakeKwa hiyo umemtongoza mdogo wake ili umuudhi tu ama Kweli ulikuwa na lengo la kumtongoza mdogo wake?
Na ndio maana nikaamua kumtongoza binti wa mbele yake ambaye ni pisi kali ili kumuonesha kuwa yeye sio kitu kwenye huu uso wa duniaUmekatiliwa imekuuma tena na mwanamke mweusi [emoji23]
Ndio mkuu. Sio akili tu, bali nina degree mbili za biashara na uchumi
Hizo namba nahisi ni vice versaNina miongo mitatu na mausheee
Hapana mkuu. Wote wana akili timamu na ni wasomi. Pia mimi nina akili sanaJe kwenye familia yenu hakuna mwanafamilia aliyewahi kuwa na Mental disover maana nina shaka
shemeji yako akishwa na kazi za dada yako chumbani atatimuliwa yeye alafu wewe utachagua kuondoka naye ama ubaki ili uwe unampikia shemeji yako km mubadala wa dada yako.Baada ya kumuona akiwa mpweke nikaamua kumpandia juu. Kama kawaida yangu ya ucheshi wa hapa na pale bila kusahau utani mwingi. Kanijibu "Mimi sio mwanamke wa hivyo, katika maisha yangu sipendi utani na ucheshi wa kijinga".
Binafsi niliona ni vyema nimuonee huruma tu kwa kuwa kati ya wale wenzake wawili aliokuwa nao, yeye ndiye mmbovu. Always black is beauty, lakini kwa uweusi aliokuwa nao ni basi tu. Hata kama angeliingia king ningeishia kucheza na hisia zake na nisimchakate hata mbususu
Kijana handsome kama mimi ninayeliliwa na wanawake kadha wa kadha hapa mtaani bila kusahau wake za watu na watoto wao ninajibiwa shit kweli!!?[emoji23]
Pale pale mbele yake niligeuza shingo kwa hasira kali nikasogea mbele kumtongoza mmoja kati ya hao wawili aliokuwa nao. Nimemuimbisha verses plus heavy tone na tabasamu kwa mbaaali, binti kabaki anamwaga udenda tu. Nikamalizia kwa kumwambia, "Hiyo ni tlera tu, bado movie lenyewe" nikachukua simu yake kwa swaag nikaandika namba yangu kisha nikaichum mpaka simu yenyewe. Kabaki ananitizama tu ninavyoishilia
Huyu kiswaswadu (cheusi Mangala) alilishuhudia tukio lote hilo. (Tukio ni la jana usiku )
Mida ya saa nne binti akanicall, katika mazungumzo ya hapa na pale ndipo kuja kugundua kuwa yeye na huyo Mangala ni mtu na mdogo wake
Wacha picha ianze! Mrejesho wote nitakuwa naupachika hapa
N.B Wanawake acheni kushindana na wanaume. Shwain!
Na kweli mkuuSiku
shemeji yako akishwa na kazi za dada yako chumbani atatimuliwa yeye alafu wewe utachagua kuondoka naye ama ubaki ili uwe unampikia shemeji yako km mubadala wa dada yako.
Lipia tangazo, unatamba kuwa wewe ni handsome.Baada ya kumuona akiwa mpweke nikaamua kumpandia juu. Kama kawaida yangu ya ucheshi wa hapa na pale bila kusahau utani mwingi. Kanijibu "Mimi sio mwanamke wa hivyo, katika maisha yangu sipendi utani na ucheshi wa kijinga".