The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,675 Jul 27, 2013 #2 mnhhhhhhhhhhh
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Jul 27, 2013 #3 Mkiambiwa Ulevi haraam mnabisha.
M MOSSAD II JF-Expert Member Joined Apr 14, 2013 Posts 3,971 Reaction score 947 Jul 27, 2013 #4 FaizaFoxy said: Mkiambiwa Ulevi haraam mnabisha. Click to expand... Na kupandisha gauni ni halali?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Jul 27, 2013 #5 MOSSAD II said: Na kupandisha gauni ni halali? Click to expand... Angekuwa hajalewa, ushahidi uko hapo hapo, asingefanya alivyofanya labda awe na matatizo ya akili.
MOSSAD II said: Na kupandisha gauni ni halali? Click to expand... Angekuwa hajalewa, ushahidi uko hapo hapo, asingefanya alivyofanya labda awe na matatizo ya akili.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jul 28, 2013 #6 Mtu mzima ovyooooo
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jul 28, 2013 #7 hapo chini ni ZE BINGWA
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,189 Reaction score 128,283 Jul 28, 2013 #8 FaizaFoxy said: Mkiambiwa Ulevi haraam mnabisha. Click to expand... sio ulevi tu, na unafiki ni haraam sana hasa ktk kipindi hichi cha mwezi mtukufu.
FaizaFoxy said: Mkiambiwa Ulevi haraam mnabisha. Click to expand... sio ulevi tu, na unafiki ni haraam sana hasa ktk kipindi hichi cha mwezi mtukufu.
Sigma JF-Expert Member Joined Feb 26, 2011 Posts 5,007 Reaction score 1,259 Jul 28, 2013 #9 bila huyu bibi kulewa, bajeti ya nchi yake inaweza pata booooooonge la pengo. Kula bia bibi, raha jipe, babu ashatangulia.
bila huyu bibi kulewa, bajeti ya nchi yake inaweza pata booooooonge la pengo. Kula bia bibi, raha jipe, babu ashatangulia.
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jul 28, 2013 #10 Pombe si chai
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Jul 28, 2013 #11 FaizaFoxy said: Mkiambiwa Ulevi haraam mnabisha. Click to expand... Huu ndo ulevi harami lakini bibi hana tatizo mbona
FaizaFoxy said: Mkiambiwa Ulevi haraam mnabisha. Click to expand... Huu ndo ulevi harami lakini bibi hana tatizo mbona