Huyu bibi hapendi ujinga✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,147
14,699
Bibi kapigwa mtama na Kibaka na kuporwa simu, Kainuka na kuanza kumkimbiza kibaka, Kibaka kuona Bibi hakati tamaa akatupa simu, Bibi kaikota na kuendelea kumkimbiza kibaka,

Kibaka akaanza kulia: "Bibi kama ni simu yako si tayari umechukua"

Bibi kajibu "Bado Mtama"

Bibi hapendagi ujinga…
 
Audio ya hii story mbona ilishaingia mtaani weka video yake ndio hatujaiona mkuu
 
Back
Top Bottom