Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,892
- 172,674
Ha ha ha ila alimpa shida mtoto kwakweliAlafu sijui alizubaa asifate njia yake akatoka maana hizo adhabu anayopewa si ndogo
Ha ha ha ila alimpa shida mtoto kwakweliAlafu sijui alizubaa asifate njia yake akatoka maana hizo adhabu anayopewa si ndogo
Itakuwa alijiweka sawa nae, akajishikiza kisa huo mrusho....
Hahahah mie napenda kutembe kwa madoido na kitumbo changu mwenyewe najiprndaje nkiwa mjamzito na mikikimiki yote naweza ila huyu kiboko